@MariaSTsehai Hawa ni bora walishtukiwa mapema na intelejesia yetu walivyo na roho mbaya na uchu wa madaraka wangeweza hata kuwawaekea sumu majemedali wetu wapuuzi hawa.🛢🚮🚮🚮
MaCCM hayawezi kumpenda Tundu Lissu. MaCCM yanapenda mazombi. MaCCM yanachukia watu wanao-amsha ari na morali ya mageuzi katika fikra za watu. Tundu Lissu ni aina ya viumbe ambao tulitakiwa kujivunia. Nchi yetu, tukipata akina Tundu Lissu wengi, MaCCM kwaheri. #LissuSioMhaini
@CatherineRuge Bad timing....ungeunga juhudi kipindi cha magufuli ungeula sana zama hizi unaenda kupotea kiasi kwamba hutoamini...
Nilikuwa nakuamini sana kumbe na ww ni dumping off tu mshikwa akili huna tofauti na Mwijaku unafuata upepo