Moja kati makosa watu hufanya kazini ni kijiona wao ni alpha na Omega, Kuna wakati mfanya kazi anajiona alpha na Omega na Kuna wakati Boss anajifanya ni alpha na Omega. Ila ukweli ni kwamba maisha ni Fair play yoyote kati ya Boss na mfanyakazi anaweza asiwepo na maisha yakaenda.
@Roma_Mkatoliki Umechelewesha ushauri mkato! Ila amini kwamba kuoa ni either heaven or hell inategemea utaoa demu gani na akili yako utaielekeza namna gani, binafsi naamini unatakiwa kufanya chanya lakini hutakiwi ku-attach maisha yako na chochote kile duniani hata Pesa.
@mullokozi I pray maisha yetu yawe neutral tutafute na kujenga Kila kitu ila tuwe na zero attachment na chochote including our family. Dunia Ina disappointment nyingi sana
@EsirEid Dustbin brbrn hakuna mnataka tutembee na uchafu kwenye mifuko ya shati na suruali. Onyo iendane na mikakati kila kituo cha daladala kiwe na Dustin zaidi ya moja