@Wakazi Kaka ata uandike paragraph ngapi ila kiukweli ni ngumu kumbadilisha shabiki ambae mziki wa vina umeingia sikioni Kwake eti asimpe DIZASTA VINA sifa , mziki wa vina once you inn you will always inn (FACT YA KUWA VINA ANAJUA SANA YOU CAN’T CHANGE IT)
@Wakazi@bushidosenseii Kaka kwani yeye kosa lake nini akatae kukwezwa akatae jinsi watu wanavyo muona anajua beyond normal au? Yeye kafanya kazi yake mashabiki ndio wakachagua kumpandisha izo ngazi from which sio makosa watu kumuona mtu anajua sana ameprove day by day ukali wake