๐๐Tanzania ni masikini toka lini?! Haya mambo ya chanjo tuliambiwa ni vita vya kiuchumi ama?
Tulipokuwa tunasema haya MATAGA na praise team walitukebehi sana na walitoa matusi ya kila aina!. Haya sasa kiko wapi!? Muwe mnapenda kusikiliza haya mambo. We know better than YOU ๐