Sahi nataka kufanya signing moja hatari ya players of likes of Olise then nitulie. I don't care about the transfer fee or financial fair play, nitatumia zile mbinu Man City used to sign Haaland. Give me one week, nitawapea updates!
Kuna hii kitu inaitwa soft launching, yaani msichana anakupost mkishikana mikono mkiwa outside lakini haonyeshi sura. In my days Wambui from Nyeri alishika tundevu kwangu akapiga picha akaekea watu hapo green app nikadhani I’ve found the one, akanichanganya akanitoka tittle deed
Ndo naingia kinyozi after kupea foreman fruits of my labor. My barber anaweka Slave by Lucky Dube akifanya mambo yake. 4mins into the haircut naanza kushed a tear, not because ngoma ya Lucky Dube ni emotional,noo, ni ju msanii aliwekelea towel moto kwa kichwa alafu akaingia nyasi