๐ผ๐พ๐๐๐๐๐๐ / (๐๐ฃ๐ก๐ฎ ๐๐ง๐๐๐๐ค๐ข ๐๐ฃ๐ ๐ฅ๐ค๐จ๐๐ฉ๐๐ซ๐๐ฉ๐ฎ ๐๐ก๐ค๐ฌ ๐ฉ๐๐ง๐ค๐ช๐๐ ๐ข๐ฎ ๐ซ๐๐๐ฃ๐จ)
TUMEVUKA THE RED SEA NA TUNDULISSU NA J.HECHE
โผ๏ธ๐จANGELA KIZIGHA - CONFLICT OF INTEREST KAMATI YA BUNGEโผ๏ธ
Hawa wauaji wanatuona wajinga kabisa? Leo mkandarasi wa JWTZ ambaye ametuhumiwa na ufisadi na kuingiza bidhaa zilizo chini ya viwango mnaenda kumweka kamati ya Ulinzi bungeni???
Yaani ye anapitisha bajeti ambayo anaenda kulipwa kama supplier alafu ni mshauri wa Samia huko Ikulu!
Acheni dharau! Huyu atolewe mara moja kwenye hiyo kamati ๐ฎ
Na nyie CCM mliopo huko mkijiita wabunge mnakubali genge la majambazi wa kike wakufuru?
Wanajeshi msilalamike tu DM - hii sasa ni zaidi ya dharau kwenu! Kulalamika mtuachie sisi raia atiii!
Nikiwaambia #SamiaMustGo muwe mnanielewa!
#TutaelewanaTu
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nyweleโฆSitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURUโ๐พโ๐พ
#LiMwenyekiti#KatibaMpya#FREELISSU
Tuwapongeze sana WAKATOLIKI kwa upgrade, hakika kuna mabadiliko makubwa toka tulipowaona mara ya mwisho.
Tuwakumbushe kuwa kwa kawaida wakatoliki huwa hawabebi biblia, kitabu chao maarufu kinaitwa MISALE YA WAUMINI.
Kila la heri!
Mengine yote siyo mambo ambayo yangenishtua. Nilitarajia kuyasikia. Lakini kitu sikutarajia kusikia akisema ni kwamba nguvu iliyotumika kupambana waandamanaji inaendana na tukio husika. Kwa kauli hiyo, mauaji yalikuwa sahihi na hakuna uwajibikaji kwa waliotoa amri na kutekeleza.
Umetumika kisenge na ninafikiri you knew what you did. Samia ameuwa maelfu ya Watz. Ni upumbavu kuchukua pesa kutengeneza diversion, au kuibua mjadala wa kijinga wakati tuko msibani.
Acha ushirika wa kipumbavu na watu wanaotaka wakuuwe pia. Theyโre so desperate.
Learn or perish
Mmechagua maandamano ๐ช๐ฝ๐น๐ฟ
Swali ni tarehe! Huko DM nimeona Dec 9 na wengine wanasema Desemba 9 ni mbali na tutapoa, wanataka kabla ya Dec 9
Weka kura yako ๐๐พ
Maandamano inayofuata iwe