Kwenye utafutaji ndio utakutana na bahati. Kwenye kilimo, biashara, madini, ajira, umachinga, uwinga na hata utapeli nk huku ndio watu wanapata bahati. Point ni kwamba lazima utoke ukatafute ndipo bahati ije. Huwezi kupata bahati kwa kukaa tu kijiweni.
Bahati pia inatafutwa
KAHAMA — SHINYANGA.
Wananchi wameamua kwa uwezo na nguvu zao wenyewe kuchangia harakati za kisiasa za CHADEMA. Wananchi wanasema CHADEMA itaendeshwa kwa gharama za UMMA. TONE TONE tumepata kiasi cha TZS 2,700,700. Changia TONE lako kupitia 0744446969 – CHADEMA HQ
Safi kabisa hatuna muda wa kujadili ushenzi wa Takataka inaitwa "SISTA NYAHOZA".
KuFungia chadema, kuifuta Chadema ni kucheza na UTULIVU wa nchi uliopo.
Sote tunajua nchi haina AMANI-hiki ni kisiwa cha UVUMILIVU, afu wewe ulete ushinzi wako.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Hapa hakuna walimu waliolazimishwa kuja, hakuna TAMISEMI, hakuna malori yaliyoleta watu, watu wametembea km80 kama za Girishon kuja kwenye mkutano, what a love ✌️
Huu mtambo tulioweka ikulu leo unaweza kueleza chochote kweli?🤔🤔🤔
Tuliwezaje kuporomoka kutoka kuongozwa na watu kama Nyerere na Sokoine mpaka kuwa na Samia na Mwigulu??🤔🤔
Huyu Girishoni juzi juzi tuu si hapa kawatukana watanzania kwa kutuita sisi wote ni "NGUCHIRO".
LEO anakiri kwamba yeye amehusika kukamata vijana zaidi ya 80 waliotoa maoni yao (yeye anasema wamemtukana).
Pia anasema kuna vijana wengine zaidi wanashikiliwa kwa kesi za kutukana viongozi.
Tunamtaka aseme hao vijana wako wapi na wanashikiliwa vituo gani, na kama wamekosea wapelekwe mahakamani.
Kuwashukiliwa vituoni na kuwatesa ni kinyume cha sheria. Huenda miongoni mwao wanakufa na labda ndio hao wanaotupwa mtoni na mtaani.
Tatu aache kujaza hofu watanzania. Kutoa maoni kinzani sio matusi.
Jinga Wahed.
Sisi ndiyo wale ambao tulifungiwa tusifanye siasa siku 310 mfululizo na tumerudi tumekuta hata MaCCM na vyama mipango yao ya kando vinaogopa kufanya mikutano ya hadhara. Nawapa challenge, nileteeni picha kama hii mbunge wa CCM akifanya mkutano wa hadhara jimboni tangu Oktoba 29.
Mnataka apendwe au aogopwe?
Kauli za vitisho, mauaji, kuteka, kupoteza, kufunga na kuua watu ..
Mnaweza kuzifanya kwenye Nchi ambayo basically haina vyombo vya habari. Mahakama na Bunge vyote vimegeuka sehemu ya serikali.
Kwenye Nchi za watu wastaarabu kila kauli unayotamka itawekwa kwenye mzani na umma utakuona kwa sura halisi.
Asanteni sana ndugu zetu wa Kenya.
Tukikosoa, tukishauri na kuikemea serikali tukiwa mbali, mnasema fimbo ya mbali haiui nyoka.
Wewe ulioko hapo Kongowe umeshaua nyoka wangapi na fimbo yako ya karibu?