Wafanyabiashara waliobobea, NDIO wanapata faida katika biashara hii.
Lakini kama kazi nyingine yoyote, mafanikio hayaiji kwa usiku mmoja. Biashara ya forex si rahisi kama ambavyo baadhi ya watu wanapenda kuaminishwa. Kama ingekuwa rahisi, kila anayefanya biashara ya forex angekuwa milionea, lakini hata wafanyabiashara waliobobea walio na uzoefu wa miaka bado hukumbana na hasara mara kwa mara.
Inahitaji mazoezi mengi, uzoefu mkubwa, na nidhamu. Hakuna mbadala wa kufanya kazi kwa bidii, mazoezi ya makusudi, na
kujifunza kwa dhamira ya kweli.
“The Law of Self-Education
School teaches you how to survive, self- education teaches you how to win. Read, study, listen to mentors, learn skills no one taught you. Knowledge is the new currency, and the one who learns fastest earns the most.”
Shule mara nyingi inakupa maarifa ya msingi ya kuishi na kufanya kazi, lakini kujielimisha mwenyewe kunakupa uwezo wa kwenda hatua ya juu zaidi.
Unapojielimisha mwenyewe utasoma vitabu nje ya darasa, utajifunza skills zinazolipa mfano biashara, trading, sales, communication, AI, leadership. Utajifunza kutoka kwa mentors na uzoefu wa watu wengine, Hujiulizi “nilifundishwa nini?” Unajiuliza “nahitaji kujifunza nini?”
Leo hii taarifa ni nyingi, lakini kinachotofautisha watu si upatikanaji wa taarifa, ni kasi ya kujifunza na kutumia walichojifunza.
“The Law of Self-Education
School teaches you how to survive, self- education teaches you how to win. Read, study, listen to mentors, learn skills no one taught you. Knowledge is the new currency, and the one who learns fastest earns the most.”
Shule mara nyingi inakupa maarifa ya msingi ya kuishi na kufanya kazi, lakini kujielimisha mwenyewe kunakupa uwezo wa kwenda hatua ya juu zaidi.
Unapojielimisha mwenyewe utasoma vitabu nje ya darasa, utajifunza skills zinazolipa mfano biashara, trading, sales, communication, AI, leadership. Utajifunza kutoka kwa mentors na uzoefu wa watu wengine, Hujiulizi “nilifundishwa nini?” Unajiuliza “nahitaji kujifunza nini?”
Leo hii taarifa ni nyingi, lakini kinachotofautisha watu si upatikanaji wa taarifa, ni kasi ya kujifunza na kutumia walichojifunza.
KWA NINI MASTURBATION INASABABISHA UCHELEWE KUWA CONSISTENCY KWENYE TRADING?
Delay gratification kwenye trading ni uwezo wa kuahirisha raha ya muda mfupi ili upate matokeo makubwa ya muda mrefu. Trader anayeshindwa hili mara nyingi anakuwa addicted na instant dopamine, yani anataka kujisikia vizuri sasa hivi badala ya kusubiri process ikamilike.
Hii psychology unaweza kuirelate sana na tabia ya masturbation, kwa sababu zote mbili zinafundisha ubongo kutafuta reward ya haraka bila uvumilivu.
Mfano wa connection yake Masturbation inaweza kuzoesha ubongo kupata relief instantly. Stress kidogo unataka dopamine. Upweke kidogo unataka dopamine. Pressure kidogo unataka dopamine. Sasa Trading inahitaji opposite yake stress tolerance, patience, na uwezo wa kukaa bila reward kwa muda.
Sasa ubongo ukiwa umezoea QUICK PLEASURE trader anaweza Kufungua trades ovyo kwa sababu hawezi kusubiri setup safi, Kuclose trade mapema ili ajisikie amepata kitu, Kuongeza lot size kutafuta emotional excitement. Ku revenge trade baada ya loss ili arudishe dopamine haraka. Kushindwa kuwa consistency kwa sababu hakuna stimulation ya haraka.
Kwenye level ya psychology, tatizo sio masturbation yenyewe pekee, ni pattern ya instant gratification conditioning.
Market inalipa watu wenye uwezo wa kusubiri, kudhibiti impulses, kuchelewesha raha na ku tolerate boredom.
Trader mwenye discipline anaweza kukaa siku nzima bila trade kama setup haipo. Lakini mtu aliye addicted na stimulation ya haraka anaona ukimya ni mateso, hivyo anatafuta action hata kama hakuna opportunity.
Ndiyo maana trading psychology ina overlap kubwa na self-control ya maisha ya kawaida ambapo chakula, wanawake, social media, gambling, masturbation na matumizi ya pesa vina-affect kubwa kwenye saikolojia ya trading
Ukishindwa kudhibiti impulses nje ya chart, mara nyingi zinaonekana pia ndani ya chart. Kwa trader, delay gratification ni kama MUSCLE, Inajengwa kwa kufuata rules bila emotions, kukubali boredom, kusubiri confirmations na kuacha kuishi kwa dopamine ya haraka.
Mtu anayeweza ku-control tamaa ndogo za muda mfupi, mara nyingi anakuwa stable zaidi emotionally kwenye market.
"Concentrate all your thoughts upon the work in hand. The Sun's rays do not burn until brought to a focus" - Alexander Graham Bell
Miale ya jua ipo kila siku, lakini haiwezi kuchoma mpaka ikusanywe sehemu moja kupitia lens. Hata kwetu binadamu talent, ideas, motivation na intelligence havitoshi bila focus.
Watu wengi wana uwezo mkubwa, lakini energy yao imesambaa kila mahali Leo biashara hii, Kesho skill nyingine, Wiki ijayo project mpya na sometimes wanalinganisha maisha yao na wengine.
Focus ndiyo inatengeneza direction. Ukikosa focus, kila opportunity inaonekana muhimu na kila distraction inaonekana attractive. Lakini ukiwa na focus utaelewa Si kila kitu kizuri kinastahili attention yako.
Maisha yanabadilika pale unapopunguza distractions na kuanza kuweka nguvu zako kwenye Skill moja, Mission moja na Goal moja kwa muda wa kutosha. Kwa sababu consistency kwenye direction moja hujenga momentum.
Kwenye biashara, hii principle ni muhimu sana. Business nyingi hazifi kwa sababu idea ni mbaya. Zinakufa kwa sababu owner hana concentration. Wafanyabiashara wengi Wanabadilisha strategy kila mwezi, Wanataka kufanya kila biashara kwa wakati mmoja na Wanataka profit ya haraka kabla system haijakomaa. Lakini biashara hukua pale ambapo founder Ana focus kwenye value, Ana improve process moja continuously, Ana build reputation kwa consistency na Anaielewa market yake deeply
Apple haikujengwa kwa kufanya kila kitu.
Walifocus kwenye few things na kuzifanya exceptionally well. Focused business Huonekana professional, Huaminika, Hujenga strong brand identity na Hukua faster kuliko business inayojaribu kufanya kila kitu.
Sasa kwenye trading, focus ndiyo kitu hutofautisha kati ya gambler na professional trader.
Trader wengi wanashindwa sio kwa sababu hawajui strategy, bali kwa sababu Wanaruka kutoka strategy moja kwenda nyingine, Wanachange indicators kila week, Wanatafuta “holy grail strategy” na Wanatrade pairs nyingi bila kumaster yoyote.
Lakini trader bora ni mwenye setup chache, rules chache, Anaielewa system yake deeply na Ana repeat process ile ile consistently. Kwenye trading, mastery haitoki kwenye kufanya mengi. Inatoka kwenye kufanya kitu kilekile kwa ubora mkubwa kwa muda mrefu.
Focus pia inasaidia emotional control.
Kwa sababu ukiwa focused hujilinganishi safari yako sana na wengine, Huvutwi na hype ya kila movement na Hupotezi energy kwenye noise za market
Wengi wanakosea hapa kwa kutaka matokeo makubwa huku attention yao imegawanyika sehemu 10 tofauti. Energy iliyotawanyika huleta confusion. Energy iliyofocused huleta power.
Mtu anayefocus kwa miaka miwili kwenye skill moja anaweza kuwazidi watu waliotumia miaka mitano wakihama hama direction. Mwisho wa siku Focus hujenga mastery, Mastery hujenga confidence na Confidence hujenga consistency results. Na results ndizo zinazowafanya watu waonekane “gifted”, wakati ukweli ni kwamba walikaa sehemu moja kwa muda mrefu kuliko wengine.
Replace entertainment with education for 90 days. What you consume shapes your destiny. Spend less time watching people live their dreams and more time building yours 🤝
Hii ni tweet ya 2024, hapo ni kabla hatujaanzisha intelligence-floor✅ wala let’s impact millions podcast✅
Naona kazi ya kufanya serious investment inayo-match international standards tumeachiwa @intelligencefx pekee,
Haipaswi kuwa hivyo, Nawasihi traders wengine msilale, jukumu ka kuiheshimisha industry yetu na kuchonga barabara kwa vizazi vijavyo ni letu sote,
tuambizane changamoto ipo wapi tuweze kusaidizana
#ElimikaWeekend
“Welcome to Trading, Where You Pay for Every Single Mistake With Dollars, Not Apologies.”
Hii statement inaelezea ukweli mchungu ambao traders wengi wanachelewa kuuelewa. Kwenye trading, market haisikilizi excuses, emotions, stress wala matumaini yako.
Kila kosa lina gharama halisi ya pesa kwenye akaunti yako.
Shuleni ukikosea unaweza kurekebishwa. Kazini unaweza kupewa warning. Lakini kwenye trading, kadri unapokosea mara nyingi ndivyo unapoteza capital.
TRADING NI BIASHARA YA UWAJIBIKAJI.
Watu wengi wanaingia kwenye hii biashara wakifikiri ni njia ya kutajirika haraka, ni kazi ya kubahatisha, ni signals business au ni maisha ya laptop na magari
Lakini ukweli ni, Trading ni biashara ya maamuzi. Na kila decision unayofanya sokoni ina consequence.
Ukiclick buy bila kufanya analysis, unapoteza pesa.Ukiongeza lot size kwa hasira/hisia unapoteza pesa. Ukikosa discipline unapoteza pesa. Market haitoi sympathy.
KOSA DOGO LINAGHARIMU PESA HALISI
Mfano, Trader ana account ya $500. Unaingia trade bila stop loss kwa sababu, unaona itarudi tu, Market inaenda opposite, Badala ya kutoka mapema unaongeza entry, unaomba market igeuke na una panic
Mwisho Account inaungua.
Kosa lilianza kama emotional decision ndogo, lakini gharama yake inakua pesa halisi.
MARKET HAIPIGANI NA WEWE, INAKUONESHA UDHAIFU WAKO
Forex huwa inakufungua ujue tamaa yako, wenge lako, ego yako, kukosa subira, emotional instability na lack of discipline.
Ndiyo maana watu wawili wana strategy moja lakini mmoja anafanikiwa na mwingine anafeli. Tatizo sio strategy pekee. Tatizo ni psychology.
TRADING SIYO KUWA SAHIHI KILA MARA
Beginners wengi wanafikiri Nikijifunza strategy nzuri sitapoteza tena.
Ukweli, Hata professional traders wanapata losses. Tofauti ni, professional anakubali loss mapema na beginner anapigana na market.
Professional analinda capital, ana risk management na ana emotional control.
Beginner anataka revenge trade, anataka kurudisha hela instantly na anaovertrade.
KILA MISTAKE INA ROOT YAKE
A. Overleveraging
Kutumia lot size kubwa kuliko account inavyoruhusu.
Matokeo una-panic, emotional trading na margin call
B. Kukosa Stop Loss
Trader unaamini, Market itarudi. Lakini market hairudi kwa sababu wewe unataka irudi, ni calculated price movement ambazo unatakiwa kuzielewa.
C. Trading kwa Hisia
Vitu kama hasira, excitement, fear na revenge
Emotion ikikuongoza, logic inakufa.
D. Kutokuwa na Mfumo
Trader unaingia trade, bila plan, bila setup au bila confirmation. Unakua gambler badala ya trader.
FOREX NI BUSINESS, SIYO CASINO
Casino unabet na unasubiri bahati.
Trading unafanya analysis, unasimamia risk na unasubiri probability/opportunity. Watu wengi wanafeli kwa sababu wanatreat trading kama betting.
CAPITAL NI SILAHA YAKO
Ukikosa discipline, unapoteza capital.
Ukipoteza capital, hauwezi kuendelea na biashara. Ndiyo maana rule muhimu sana huwa nawaambia traders.
“Protect the account before chasing profits.”
MARKET INAADHIBU TABIA MBAYA
Ukiwa na greedy, impatient, emotional na inconsistent. Market itakuadhibu. Na adhabu yake ni drawdown.
Forex inahitaji discipline, patience, consistency na emotional maturity
WATU WENGI WANATAKA PROFIT KABLA YA UFAHAMU
Hili ndio kosa kubwa. Beginners wanataka signals kwanza, wanataka funded account au wanataka profits kwanza.
Lakini hawataki kujifunza structure/technical skills, psychology, risk management na patience. Uelewa lazima uwepo kabla ya earnings.
“Are you ready to start?”
Swali halimaanishi Uko tayari kutengeneza pesa?
Linamaanisha uko tayari kupoteza? uko tayari kujifunza? uko tayari kuwa disciplined? uko tayari kuwajibika kwa maamuzi yako?
Kwa sababu trading halisi sio kuwa excitement. Bali ni consistency under pressure.
Forex inaweza kubadilisha maisha yako. Lakini kwanza mindset yako lazima iwe imara kuweza kufikia level ya kubadili maisha yako
Trading itakufundisha patience, discipline, emotional control, risk management na self awareness
“Trading is not a get rich quick business.”
Watu wengi wanaingia kwenye trading wakiamini ni njia ya kutengeneza pesa za haraka. Hilo ndio kosa la kwanza. Market haijalishi una haraka kiasi gani, ukiingia bila kuelewa movement, risk management, psychology, na mfumo wa market, matokeo yake huwa ni kupoteza pesa tu.
Core approach ya kwanza sokoni inapaswa kuwa, kujifunza kuelewa market, sio kutafuta profit haraka.
Profit ni matokeo ya kuelewa unachokifanya.
Ukikurupuka kutafuta hela kabla ya kuelewa market uta-overtrade, utaingia trades kwa emotions, utaamini fake lifestyle za mitandaoni na utaumia psychologically pamoja na kupoteza fedha.
Ukitaka kuwa trader kweli kwanza anza kujifunza market structure, risk management, discipline, patience na consistency.
Baada ya hapo profit inaanza kuwa byproduct ya skills ulizo nazo na sio kubahatisha/bahati.
Na kama itakua ndani ya uwezo wako, tafuta mentor mzuri. Mentor haimaanishi mtu wa kukupa signals tu, bali mtu anayekusaidia kuelewa market, kukuonyesha makosa yako, na kukupunguzia miaka ya trial and error. Kwenye whatsapp channel nimekuelezea vigezo utavyovifuata ili kupata mentor mzuri.
Kwenye trading business kuelewa market ni asset kubwa kuliko kutengeneza profit ya siku moja.
Kuna mwana kanipigia simu, ananiambia
“Kaka, kumbe watu wanachangamoto”
nkamuuliza kwanini!?
“Daaah, yani nimemsikiliza @ThisIsMagnetics nimetamani kulia”
Nkamwambia, wewe una daiwa kodi ya laki 5 tu unaongea peke yako barabarani😂😅
Na Harakati Zake Huo Ujasiri Sio Poa Aisee Na Kijana Kafanya Ayo Yote Akiwa Chalii/Umri Mdogo Itoshe Kusema Homeboi/Mbena yule ni mwanaume kweli kweli kila la kheri kwake nnaamini atafika mbali zaidi
Cc @gabyconscious@chapo255@MkulimaKante
Sijui Sana Kuhusu Forex Ila Ukisikiliza Ile Interview Ya Magnetics Francisco Utagundua Mwana Ni Mwanaume Kweli Kweli Uwezo Wa Ku Handle Challenges Zote Na Deni Kubwa Toka Kwa Wawekezaji Mpaka Akaamua Kuondoka Kwenda Nje Ya Nchi Na Baadae Akarudi Akiwa Stable Na Akaeendelea
#UZI
Build a monthly budget and obey it like a law. Money respects structure. If you keep guessing, you'll keep struggling. Track your spending. Plan your saving. Invest consistently.