@JideJaydee Mimi ila sina dollar na kwa jinsi ninavyokukubali, mziki wako umenifunza mengi, ningeuza hata shamba la urithi nipate time na wewe ila hata urithi hakuna
@SuluhuSamia Mama, mtaani mambo ni mbaya vijana tunasoma na ajira hakuna, wasaidizi wako wapo kukusifu badala watengeneze mazingira ya ajira kama viwanda na uwezo tunao