MWALIMU JULIAS KAMBARAGE NYERERE ALISHA TABIRI KILA TATIZO LA TANZANIA LAKINI CCM HAWATAKI KUMSIKILIZA NA KULINDA HESHIMA NA USALAMA WA TAIFA LETU. MUNGU ATUSAIDIE. https://t.co/7xvUOZoxwd
Uongozi wa CHADEMA Taifa
Tundu Lissu (Mkristo)
John Heche (Mkristo)
John Mnyika (Mkristo)
Amani Golugwa (Mkristo)
Deo Mahinyila (Mkristo)
Brenda Lupia (Mkristo)
Susan Lyimo (Mkristo)
Rose Mayemba (Mkristo)
Godbless Lema (Mkristo)
Boni Yai (Mkristo)
Joseph Mbilinyi (Sugu) Mkristo
Kwanini WOTE wakristo tena ROMAN
Matapeli wa kisiasa nchini mafisadi walamba asali wamekutana KUPATANA baada ya kugombania pesa ya CCMπ€£π€£π€£
Jiulizeni, Kwamba, kwa picha hii eti inaonyesha Chale hana mawasiliano na Mkurugenzi wa TISS, Sasa ana kazi inayompa mali na kusafiri Dubai kama Tarime?.
KWA KAULI YA MH. JOHN MNYIKA, UWEZEKANO MKUBWA NI KWAMBA DADA WA TAIFA MANGE KIMAMBI ALISHWA "MATANGO PORI," NA AKAYAMEZA MAZIMAMAZIMA!!! CHUNGENI SANA, HIZI NI NYAKATI ZA MUTAFARUKU WA KISIASA.
Kuna namna Mnyika anampigania sana Nabii,
@mangekimambi amepewa Taarifa na watu wasiopenda haya madudu anayofanya Lema,
Mnyika yeye ame verify taarifa ya Mange kwa kumuuliza nani Lema ? au Kikwete ?
Haya mambo ya Lema ajibu Lema mwenyewe, wakati anatukana watu mtandaoni hapo hakuja na kofia ya CHAMA alifanya kama LEMA
Hii ya Lema kumsumbua mnyika kwa kila Spana anazopigwa haiko sawa, Najua Tweet nyingi sana ambazo zimefutwa humu alizopelekewa moto LEMA sababu ya simu alizopiga Mnyika kwa watu waliopost
Bwana @jjmnyika ni wakati ukamuacha lema akajitegemea kwenye mambo yake anayofanya, wewe sio caretaker wa Lema, suala la lema kukaa vikao linahusika vipi na Position yako kama Katibu Mkuu wa CHADEMA?
Msimkingie kifua lema, na mwacheni aongee na vyombo vya habari, hii biashara ya kutishana tishana lazima iishe, fanya majukumu yako ya CHAMA, kama kweli unajali anachofanya Lema basi ungefanunua na matusi mengine kwa umma kama umekubaliana nayo , ungetueleza kuhusu suala la SEA CLIFF
Hata Mbowe wacha ajijibie mwenyewe na wengine wote
Heche amepewa Tuhuma nyingi ikiwemo hiyo ya Passport kwamba amepewa na Mkuu wa Usalama wa Taifa, mtoa Tuhuma ni Lema, hii unaona ni sawa ukutakiwa fafanua hii issue mbaya hivyo? utafafanua mambo mangapi anayofanya Lema kwenye whatssApp na hapa Twitter ? na kwa nini Lema tu ndiye anayekingiwa kifua? wengine wanapigwa vibaya sana humu huko kimya
sasa tuambie tuhuma za Lema kwa Heche ni sawa? Ilikuwa Sawa , Lema kuongelea suala la Passport ya Heche ? au huu umoja mnazungumza ni upi? we are not stupid
NINAENDELEA KUTAZAMA BILA HOFU.
Kwanza, Kamati Kuu ya CHADEMA, mahali popote, haijawahi kujadili AJENDA ya Maridhiano tangu Oktoba 29 mpaka sasa.
Pili, hakuna watu wawili, watatu au kikundi cha watu ambao wamewahi kwenda kwa Makamu Wenyeviti, Katibu Mkuu au Manaibu Katibu Wakuu kuwaomba tufanye maridhiano.
Tatu, azimio la kukataa maridhiano lililosomwa na MMB , John Heche, pamoja na kutaka msuluhishi huru wa kimataifa, lilifanywa na KAMATI NDOGO YA KAMATI KUU, iliyokuwa na wajumbe wafuatao , Heche, Mnyika, Manaibu Katibu Wakuu wote wawili, Sugu, Boni Yai, Lema na Susan Lyimo.
Kwa hiyo, mtu au kikundi chochote kinachotaka kuugawa msimamo huu wa CHAMA na kuuweka kwenye makundi ya watu fulani, ni mzushi na mwongo. Msimamo huu si wa mtu mmoja. Ni msimamo wa CHAMA.
Na mtu au kikundi chochote kinachotaka kuaminisha umma kwamba wajumbe hao wamegeuka au kwamba msimamo huu ni wa baadhi ya watu na si wengine, kinafanya kazi ya kutugawa kwa uongo.
Ukweli unabaki kuwa ukweli, hata kama kuna watu wanaotaka kuupindisha.
Kuhusu familia yangu, watoto wangu wawili pamoja na mke wangu walikuja Tanzania baada ya takribani miaka sita wakiwa nje ya nchi, kwa ajili ya kusalimia kwa mwezi mmoja. Walifika tarehe 28/7/2026 na tayari walirudi nchini kwao Canada tarehe 3/9/2026.
Wito , wote wanaopigana na mimi vita vya uongo , wataanza kuadhibiwa na Mungu siku sio nyingi, kwani ninamjua Mungu ninayemuamini.
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome, amewataka wanachama na wanaharakati wa chama hicho kuacha matusi na mashambulizi dhidi ya viongozi, akisema hatua hizo zinakidhoofisha chama.
Mchome amesema amesikitishwa na mashambulizi yanayoendelea mitandaoni dhidi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwataka wanaharakati walioko ndani na nje ya nchi kutambua kuwa siasa hazipaswi kujengwa katika uadui, hasa wakati wa misiba.
Amesema anapongeza hatua ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, kutoa pole kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, akisisitiza kuwa msiba si jambo la kusherehekea wala kufurahia.
Aidha, Mchome amemtuhumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kuwa na uhusiano usioeleweka na baadhi ya viongozi wa Serikali, akidai namna alivyopata pasipoti yake kupitia mawasiliano na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa inapaswa kuibua maswali ndani ya chama.
Mchome amewataka wanaharakati kutazama kwa umakini suala hilo na kuacha kumshambulia Godbless Lema, akisema mjadala unaopaswa kujikita zaidi ni tuhuma dhidi ya Heche na namna zinavyoweza kuathiri umoja na mustakabali wa CHADEMA.
LEMBRUS MCHOME NI MSALITI NDANI YA CHADEMA. MHESHIMIWA JOHN HECHE ANA NGUVU YA UMMA, KWA HIYO MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA LAZIMA AHESHIMU NGUVU ALIYONAYO MH. HECHE ILIKULINDA AMANI YA NCHI.