Mwalimu fulani amazing. I am a dedicated and hardworking teacher in Tanzania. Technology enables me to reach many students through @ShuleDirect #MAKINISMS
"Kuanzia Ngazi ya Elimu ya awali ni vyema kungekua na somo linalohusiana na ulemavu, panapopatikana elimu hiyo inasaidia sana ushirikishwaji na ushiriki mpaka kwenye ngazi ya ajira"- Muwakilishi kutoka Shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu.@TIE_Tanzania@wizara_elimuTz
How is Artificial Intelligence changing the classroom routine in Tanzania?
Allow me to introduce you to "Ticha Kidevu", a digital learning platform made by Erick Kondela, here in Tz that has over 1.5 users in Africa.
#reshapingthenarrative#tedxmajengo2019
Walimu ndio nguzo kuu ktk utoaji wa Elimu bora, lakini pia nyenzo bora za kisasa zitamsaidia mwalimu kuboresha ufaulu wa mwanafunzi. @ShuleDirect wana jukwaa la kidigiti linalo mwezesha mwalimu kupata nyenzo na rasilimali bora za ufundishaji.
Ukiwa Mwalimu, usiumizwe na matokeo mabaya ya mtoto, umizwa na sababu za kwa nini mtoto anaanguka kitaaluma, kwa kuwa usipozijua sababu za kwa nini mtoto anaanguka, hutoweza kumwondoa mtoto kwenye mtego huo kamwe, na hutokuwa Mwalimu bora.
Last week RELI organisations under the cluster of Teacher Development and Support had a three days workshop in #Dodoma to learn on the Teaching at the Right Level approaches that will… https://t.co/usguegJQOm