Monday si ndio jtatu, kaa karibu na vyanzo vyote vya ww kupata muziki,
Ni miaka miwili imepita bila kazi mpya, get ready sasaπππ
Am sorry kwakuchelewa
#Muzikimzuriumerudi
Nasikia wakipenda huwa hawaombi hela sa nyengine wanakupa ww kbsa, ni kweli hii wananzengo?
Isijekuwa kanichoma alonambia hvπ€£ https://t.co/GVUNVhZNaG
Ananipa sababu yakuzisaka nijaze kibubu mbele maisha yasije tushindaπππ muda mwingine hata nisipotoa ngoma msinilaumu ndugu zanguπ
Just joking π€£ https://t.co/JU4U6kuM6w
+1 son maneno hayatoshi kueleza hisia za
upendo wa baba kwako, Dua zangu zote ni kukuombea mema,
HAPPY BIRTHDAY Mtoto wa mama IRAMπππ https://t.co/53VL6poQ9V