Tanzania inaendelea kung’ara kwenye jukwaa la kimataifa! Katika tuzo za hivi karibuni za World Travel Awards, nchi imejipatia tuzo kadhaa za heshima, ikithibitisha sifa yake kama kivutio kikubwa cha utalii.
na wanachama hao waweze kuelewa kazi ya serikali nanamna inavyo endelea kuleta maendeleo na kuboresha huduma ya maji katika Jimbo la Mbarali.
#TimesMajiraUpdates
MBUNGE wa Jimbo la Mbunge Mbarali ,Bahati Ndingo amekabidhi Mitungi ya gesi 100 kwa mama Lishe Wilayani humo kwa lengo la kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika matumizi ya nishati Safi ili kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya nchi.
Katika hatua nyingine Mbunge Bahati Ndingo amewaongoza wananchi na wanachama wa umoja wa wanawake wa UWT wilaya Mbarali kutembelea mradi mkubwa wa maji wa miji 28 uliopo katika kata ya Lugelele unaogharimu kiasi Cha fedha Bilioni 52 Ili wananchi
Jeshi la Polisi Tanzania limeihakikishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ushirikiano wa karibu ili kuhakikisha kazi zao zinafanyika kwa ufanisi, kwa kuwa majukumu yao yanategemeana kwa kiasi kikubwa.
Akizungumza wakati wa makabidhiano ya vitendea kazi vya kielektroniki (printa) kwa ajili ya kurahisisha utoaji wa leseni katika ofisi za RPC, Meneja wa Mkoa wa Kikodi wa Temeke, Masau Malima, alisema hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa agizo
Jumla ya mali za benki hiyo zimeongezeka kwa 4.7%, kufikia TZS trilioni 3.1, na kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya taasisi zinazoongoza katika sekta ya kifedha Tanzania. Kiasi cha mikopo yake kimefikia TZS trilioni 1.8, ikirekodi ongezeko la kuvutia la 19.1% kwa mwaka.
Aidha Mbunge Bahati Kenneth Ndingo amekabidhi Mitungi ya gesi kwa mamantilie 100 kwa lengo la kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt, Samia Suluhu Hassan kwaajili ya matumizi ya nishati Safi ili kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya nchi
Mwenyekiti wa jumuiya ya vijana wa CCM (UVCCM) wilayani Mbarali Medson Mwambapa kwa niaba ya mwenyekiti wa vijana mkoa Yassin Ngonyani, amewataka wanachama wa CCM kuendelea kutembea kifua mbele kutokana na kazi zinazoendelea kutekelezwa na Chama hicho
CCM wilayani Mbarali imesema kupitia utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM kwa mwaka 2020-2025, ni wazi kwamba CCM itaibuka kidedea kwenye uchaguzi wa mwaka huu kutokana na usimamizi wake wa ilani kupitia miradi mbalimbali.