Hakuna kitu mbaya kama kuwa na an alcoholic father,kuna siku mzee alikosanga kukuja nyumbani friday alafu saturday asubuhi akangoa roof mabati akapeleka kwa bar ndio wamrudishie simu yake,alikua amekunywa pombe 30 sausand buana, miezi nane ilibidi tuishi kama refugees uko Kakuma.
Mimi hushangaa sana na hii life. Between when we broke up and now, nimekuwa na warembo watatu. I don't think about them a single day in my life, lakini huyo jambazi must pop into my head 50 times a day. We broke up 5 years ago. Any relationship since her does not count somehow
Read The Standard 8 days a week!
๐ฒ Subscribe today (Website): https://t.co/oZSRZG82yj
๐ฒ Read the ePaper: https://t.co/2t4BmyBN1h
#TheBold#FactsFirst
Na tulisema tuwache kucheza na pesa ya watu vijana. I donโt think those who steal know how hard it is to make money. Pesa haikuji rahisi aki. Thats why some of these guys being found dead with testicles and tongues missing. Ukiiba ya mubaya anakufuata ata ujifiche Mt kenya
We need new socialites in the game buana. The ones we had have grown old,you can just see the tire in their eyes,Amber ray looks like she badly needs a nap. Vera sidika talks like shes acting afro sinema. Wakati umewapita. Patieni Evemaina nafasi muone kwa nini naandika poem 24/7