@OchiengCharlee@YoungAfricansSC Hayo n majina matatu, sababu Eng sio kina ni Title, yaani ni kama ilivyo kwa Dr John Pombe Magufuli ni majina matatu tu
@OchiengCharlee@YoungAfricansSC Jamani tusome, jamani tusome😂😂, maneno kama Eng, Dr, Prof, hizo ni tittle na zina uhalali wa kutumika kama sehemu ya jina la mtu kwa watu ambao wametunukiwa hizo title kwa kufuata sheria,
Hakuna mtu tajiri sana, omba tu kwamba maisha yasikujaribu kwa matatizo makubwa kuliko salio la akaunti yako,
Bili moja ya hospitali, kesi moja mahakamani na mwezi mmoja wa hasara kwenye biashara yako vinatosha kabisa kukufanya uwe masikini
Remember to always deny until they bring evidence, if the evidence is not strong still deny, not every truth shall set you free, life is too brutal that it doesn't appreciate good things all the time.
@nehemiah_masala @Kariakoo_ Hayo sio majina ya kiswahili, ni biblia ya kiswahili ndo imeyaandika kwa kiswahili, nayo ni majina ya kiingereza, mathew, john, jacob nk
Tunapopambana kutafufa vitu ambavyo pesa inaweza kuvinunua, tuwe makini tusipoteze vitu ambavyo pesa haiwezi kuvinunua. Maisha yako ni muhimu kuliko kila kitu
@GeorgeMunisi3@moshijnr Hapo unakua umeongeza tatizo, kuweka sheria kali kutaweka uoga kwa marefa, kiasi kwamba kweny mechi hata wakiona offside ya kweli wanaogopa kuinua bendera sabab wanaogopa kupewa adhabu
Alafu pia, mtu unamlipa laki 2 kwa mechi alaf umpige faini mil 30 ?, useless idea
@snoopyJr_@swahilitimes@suavearnold Sio kwamba wewe ndo wa hovyo, We uliona wapi duniani timu imepewa goli ambalo limekataliwa kimakosa na refa ndani ya mechi baada ya hiyo mechi kuisha ?
@MtwaMng@MkulimaKante Najua supreme leader ni mkubwa, lakin haimaanishi kwamba kama yeye akifa hakuna amri ya kijeshi inayotolewa, utawala hauendi hvyo
@FrankLwanga8@TitoMagoti@KagutaMuseveni Luganda speaking armed individuals were spotted and heard by the protesters, and they were using live bullets shooting the protestors