@mdudechadematz @MariaSTsehai Hii Nchi ina wapinzani na wanaharakati wa kijinga sana sijui ni njaa zinawasumbua. Sasa hapo Rais wetu anaingiaje? Hivi mnadhani Rais anateu then same day wanatangaza huo ni mchakato. Angalia huyo maremu kafariki lini na lini wametangaza.
Kuna vijana wakipewa madaraka ama wakitajirika basi hubadilisha tembea/sema yao, dharau inatamalaki na hata husahau walikotoka. Katika maisha yangu mafupi kwenye siasa za kitaifa nimewashuhudia wengine hata wakijiona wakubwa kuliko wakubwa zao. Nawasihi wajifunze kwa Luqman!