Nawezaje kunyamaza wakati umefanya
Eeeeh namna hii sijaona namna hii
Nawezaje kutulia wakati umefanya
Eeeh namn hii sijaona namna hii
🎶🎵🎵🎶🎵🎵👆👆🙌🙏
🎵🎶dr. ipyana🙌🙌🎶🎵
Hatua zako za mafanikio zimekuwa na ugumu kwa sabb idadi kubwa ya watu waliokuzunguka hawaamini kile unachokiamini jitahidi usiache kuwaombea watu waliokuzunguka kumjua Mungu waishi kwenye wokovu🙏👏ili iwe rahisi kwenu kuongea lugha moja🙏
Yohana 15:19
19.Kama mngekuwa wa ulimwengu, ulimwengu ungewapenda walio wake; lakini kwa kuwa ninyi si wa ulimwengu, bali mimi naliwachagua katika ulimwengu, kwa sababu hiyo ulimwengu huwachukia.👏🙏