Raila Odinga: Kuna wanasiasa hawana biashara lakini wanatoa pesa mingi, hata Safaricom hawawezi kufanya harambee kama hio. Anafanya harambee kikundi ya vijana Ksh. 5M, ya wamama Ksh. 5Mโฆkila mwezi anatumia Ksh. 100M
Mshahara yake ni Ksh. 2M per month, hio ingine inatoka wapi?
Rai ya maaskofu:
Kanisa la Kianglikana lawataka wananchi kufanya maamuzi ya busara
Maaskofu wawataka wakenya kutowachagua watu fisadi
Aidha wanaitaka IEBC kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu umefanyika kwa njia ya uwazi
#CitizenNipashe