@BongeLaAfya KAMANGA Kuna Dr Anthony Mapande, jamaa yupo humble sana. Anakuekezea unachoumwa jinsi utakavyotibia na utali-cover baada ya muda gani. Ninampa ππΉπ₯π·πΊ yake
Ni mwalimu wako yupi na wa somo gani ambaye alikuwa anakuja bila daftari lake la maandalio, ila notes zake zote za topics zilikuwa zinatoka kichwani... Na ulikuwa unamuelewa sana?
βOne day I used to call my mamaβ
Embu tafakarini hiyo sentensi, yani achana na wimbo yani wewe fikiria mtu anakuambia hivyo uso kwa uso, yani βmwanangu one day I used to call my mama aiseeeeβ. Hapo anakuwa na maana gani sasa?
Nimepata changamoto ya kushindwa kurekebisha sehemu niliyokosea wakati wa kutuma maombi. Kila nilipopiga simu kuomba msaada simu haikupokelewa. Ninashindwa kuwasiliana nanyi kwa aajiri ya kufanya marekebisho sehemu niliyokosea. Sikuweza kutuma kutokana na makosa
Wasailiwa wa kada mbalimbali za afya kwa ngazi ya Shahada (Degree) wakifanya Usaili kwa njia ya Kidigitali, Usaili ambao umefanyika katika Mikoa yote nchini kwa lengo la kupata wataalamu watakaojaza nafasi 9,483 za kada za Afya.
Benjamin Fernandes' fintech, Nala, helps 500,000 Africans working abroad send money back home. Now he's aiming to build a cross-border payment system for multinationals doing business in Africa. https://t.co/lyk6ujMQsK
Benjamin Fernandes' fintech, Nala, helps 500,000 Africans working abroad send money back home. Now he's aiming to build a cross-border payment system for multinationals doing business in Africa. https://t.co/W1QSDkwLnf