Kuna Nyakati ngumu tunapitia katika maisha yetu, tunaona kabisa hatuwezi toboa wala kubadilisha kitu,tunakubaliana na hali zetu tunasema liwalo na liwe, LAKINI hizonyakati MUNGU hujidhihirisha kwetu pale akili zetu zikifika mwisho, Yeye ndipo anapoanza...๐๐พโ๏ธ
Iโm not sure who needs to hear this, but Isaiah 60:22 promises, โWhen the time is right, I, the LORD, will make it happen.โ
336 day of 2024. GOD always make a way๐.
Siku ukifa marafiki zako watakuzika na kuondoka familia yako itabaki na upweke Hao jamaa zako wana jamaa zao wengine, Simama na familia yako, Marafiki wengine wapo nasi kwasababu tunawasaidia mambo yao, tofauti na hapo wasingekuwa karibu nasi.
.
#IshiUlaumiweKufaUsifiwe.
โข Kuna mti kwa ajili ya mapambo tu.
โข Kuna mti haukupi chochote isipokuwa kivuli.
โข Na kuna mti unakupa kivuli, mandhari nzuri yenye kuvutia na matunda yaliyoiva.
๐ Na watu ni kama Miti.๐ฅ
#binadamu.
@TanzaniaOneJezi@prossoff Kaka unamuongelea william msengi.
Sema huyu demu tumekula nae sana bia tofauti na umalaya wake alikua apapendwa na familia alafu mzungu sana. Tumekula nae sana bia..๐๐๐
Ikitokea Umetofautiana na Mtu yeyote mliokua karibu sana kipindi cha nyuma usikanushe Wema aliokufanyia, Usifichue Siri zake, Usimvunjie Heshima yake wala usisahau fadhila zake juu yako. Kuna hekima kubwa sana katika Ukimya.๐คซ๐คซ๐คซ
Jali na kuipenda sana familia yako, Maana pindi ukiangua Athari kubwa na maumivu ni kwao, Wao ndio watalia na wewe. Hawa marafiki zetu tunacheka nao tu, ila ni masnitch Kinoma.๐ #TRUSTME