๐จNEW BUSINESS ALERT๐จ
Good day Potential Customers,
I am glad to introduce you to CakeOut
We provide the freshest and moistest cakes at affordable prices.
Cakes flavours from Chocolate cake, Coconut cake,Fruitcake,Oreocake, Strawberry cake etc call for more infor 0658115050
Msamaha sio jambo rahisi kwa kila mtu. Watu wenye wepesi wa kusamehe si watu dhaifu, ni watu wenye ujasiri.
Hakuna mtu mkamilifu, hivyo wale wenye kiu ya kujifunza kwa makosa yao wanaboreka zaidi.
@de_shemkhande@tonytogolani Ugumu wa watu kukubali kuwa ndo tatizo Ni Kama kujikosoa.....Kujikosoa ni mchakato wenye maumivu na binadamu hapendi kuumia
Kijana huna kazi unamdate mdada ambaye hana kazi mdada huna kazi unamdate mkaka ambaye hana kazi huo ni uchawi acheni hiyo kitu mara moja vinginevyo mwisho wenu utakuwa ni uadui tu๐๐๐
Namshukuru sana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa kunipa fursa ya kuhudumu katika Serikali yake.
Nawashukuru Wizara na Taasisi zake kwa ushirikiano walionipa.
Nashukuru wadau wa TEHAMA kwa ushirikiano mlionipa.
Hongera sana Mhe Dkt Ashatu Kijaji kwa kuteuliwa. Kazi Iendelee