SIMBA katoka kutwanga mechi ngumu sana ya Kimataifa huko Tripoli, Libya! Akasafiri kupitia Uturuki kurejea nchini, takribani maili 5,000 kisha akatwanga mechi nyingine ngumu ya marudiano dhidi ya Al Ahli hapo kwa Mkapa, kisha leo kaenda kuupiga mpira mwingi sana Zanzibar.
Hujasikia nini? Hujasikia stori za UCHOVU, hujasikia stori za RATIBA bali tumesikia na kuona MPIRA mzuri, inaitwa Joga Bonito ama FADLU BALL mpira uliopigwa Lupaso umerudiwa Unguja😀💪