Ndugu zangu wana X, Mimi natoka kwa humu kwanzia leo mpaka hapo nitakapo rudi tena ni salama, ila majukumu ya kazj, Mapambano yaendele kuhusu Serikali ya Ccm mpaka tukabiziwe ufunguo wa Nchi yetu tuijenge upya, wao walituondolea wazungu sisi vijana ni kuwaondoa wao
@georgekalulu01@TMnyama4_ Namba C na D ni imara kwa sababu zimetoka miaka ya chuma, hizi E maplastic yamekuwa mengi ndo maana ikitokea ajali inabondeka yote, kila unaiona kwa sasa tayari imetumika ikiwa na miaka 10 nyuma
@TzAstra2014 Sisi tunataka wajulikane pia uwe makini wasije kujua upo wapi,ila ukweli tumechoka na hizi tabia za kutekana tenaka hovyo msaada wenu mliopo humo ndani tuonyesheni njia za kudili nao Ili ikibidi waogope kidogo