Venye kunaenda nikama itabidi Stivo simple boy atoe remix ya vijana tuwache mihadarati. So jana majioni nimetokea court atleast niguze kagame ivi nitoe uvivu kwa mwili na ju mpira sisi hutumia huenda chain kila siku after game, ikakua tumengoja msee alienda nayo alete.
Tukiwa apo tunangoja ball iletwe, boyz flani alimalizanga highschool last year akatokea. Kijana sisi tumetulia kila mtu ako busy kwa simu akaanza kutuuliza msawali left right and center. Kidogo kidogo ivi kijana akaanza kuspit wisdom hadi kidogo nianze kushuku masomo yangu.