Sidechicks hufikiria ati married men are with them because they hate their wives .Msichana, bibi akigundua this illicit relationship ntasema wewe ni shetani umetumwa kuharibu ndoa yangu na tukukemee as the homebreaker you are
Mimi saa ingine huwa nalaumu babu yangu sana sababu ya kucheza na maisha wazazi wengine wakiiba mashamba ya wakoloni. That is how we ended up poor. But we were never meant for this life,ata height mimi ukiniangalia namna hii,urefu niya dynasty. Handsomeness pia niya dynasty. Lakini Sasa kama sahii nimeangalia hii mtoto ya kenyatta inaitwa Ngina,nikaona she is married
She is married some fat pumpum boy called Mwai. Now Mwais father, is the manager pale Karen country club. Na hii ni kitu inaniuma sana. Sababu sasa kama babu yangu hangenunua piano wengine wakinunua mashamba huko karen,acre moja ten bob,sahii ningekua nacheza golf huko karen. Labda ata baba yangu the late Cornelius Otieno Odiwuor,angekua manager huko aniwachie hiyo cheo kabla pneumonia imalise yeye
Na hapo ndio ningepatana na hii mtoto ya Ouru nipite nayo. Hii nitype yangu kapsaa. Now I am forced to chase low budget replicas of ngina kenyatta who live in kinoo,with standards of Lavington. Kama haka kanaitwa Eve maina nimekimbisa miaka nne kama yakubu jameni. Kinyanjui my grandfather, ulinikosea sana aki babuu
@KeKirwa 2007 wanandi walikuwa wanakuja in groups from Moiben hadi matunda na mishale buana alafu wanapatana na wenzao from ziwa hapo ile vita ilikuwa pale Furfural haikuwa rahisi aisee๐
The kindest gesture your partner can do is go to the kitchen pour food for herself and come back,then as she eats she notices your interest in her food,and instead of getting you yours,she feeds you from her plate as she aslo eats,simultaneously.
This to me,is Love
@ignyharaz2 Hapo Moi Boys kuna bois alikuwa anaitwa Kamau jamaa alinivaa makofi mingi sana nikiwa mono juu tu ya kumpata akivuta sigara kwa cube yetu man๐๐๐
@Asamoh_ Jomba unajua ukiwa consistent ivi ni kama utagwara mbele ya Bookie๐๐ shida sasa huyu hawezi kubali Githeri na wine hapa labda upost ukiota jua bila izo jeans zako za matakataka