Kutokuwa na iPhone kali, kukosa hela ya kwenda KFC & Samaki Samaki kula, kunywa na kupiga picha zakupost social Medias, kukataliwa na demu mkali, kukosa likes na followers IG & Twitter sio Ushamba. Wengi wenye furaha na kupiga picha mitandaoni hawana furaha katika maisha Yao!
@thisistemidayo Kuona picha ya 4k kwenye TV yako ni jambo linalohusisha uwezo wa TV na maudhui unayoyaangalia,
bahati mbaya chanels za kwenye ving’amuzi vyetu maudhui yake yapo kwa 720p na 1080 wengine hadi 360p
so ukinunua TV ya 4k usiweke mategemeo itabadilisha picha ya Star TV iwe ya HBO max!