Avoid simu 2nd hand kwa streets fahm.Kuna morio flani wa mine alikujiwa na makarao,he had a Samsung S21,walimshow tu hawataki simu kitu wanataka ni gun walitumia kumalizia mwenye simu,as we speak bois ako jela man, went to visit him na life si rahisi,he was sodomized,ako weak asf
Lakini highschool life was crazy tungetoka class eti tunaenda urinals alafu tukifika huko tunaanza kupiga story alafu baadaye ukisharudi class ndio unarealize ulisahau kukojoa