@IAmJogoo@KennedyMmari Utekelezaji wa huo mradi wa Metro Trains serikali kupitia Wizara ya ujenzi wanaweza wakashauriwa kuanza ujenzi katika Vituo muhimu vya taifa (Airport,SGR) kuja katika maeneo muhimu ya kibiashara Posta na Kkoo.Hatua itasaidia kwa wageni wanaokuja kibiashara nchini.
@KennedyMmari Endapo utekelezaji wa ujenzi ukikamilika Kwa Mkoa wa Mbeya utasaidia katika kukuza uchumi wa taifa. Hii ni kutokana uwepo wa SGR Ktk Mkoa husika utarahisisha shughuli za usafirishaji wa bidhaa kutoka nchi ya Zambia,Malawi,DRC ambao bidhaa zao hutegemea bandari ya Dar Es Salaam.
@hamzaalbhanj Forester XT ni gari ambayo ina turbo sifa mojawapo ya gari ya turbo inataka safari. Huyu kamaanisha muda si mrefu hiyo gari itaharibika kwenye upande wa turbo kutokana kusafiri umbali mfupi Nawasilisha.
@robertmgulunde1 Mzee ushasahau ulikuwa ni moja ya watumiaji katika kurasa ya X miaka ya nyuma ambaye ulikuwa una malengo na yule mjukuu wa Nyerere ๐
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mjadala wa Kimataifa wa Chakula wa Norman E. Borlaug ambao uliandaliwa na Taasisi ya World Food Prize Foundation katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 31 Oktoba, 2024.