ugly broke mamba after a long day fighting goon allegations ndio naingia into my silver apartment napata caretaker ameeka vifuli ju ya deni ya 300,inabidi nipitie Kwa dirisha nikimlaani na majina zaake tatu, kumamaye...
Kuamini wasichana sikuhizi imekuwa ngumu saana,yaani anakuona mamba inabidi akueke friendzone mbaka apate hawa lightskins.Tangu nifanyiwe hivyo sikuhizi nikuenda direct to the point ikiweza ni saawa lakini kuambulia patupu tangu 2015 imekuwa mtindoπ,yaani mambaz htn chetu...
Simu umeeka Kwa mfuko kidogokidogo ukichomoa unaipata Iko p*rnh*b kumamaye.Mimi na hiyo simu nikama mafuta na maji heri nitumie Infinix inichemkie ikiwa kwa mfukoπ,yaani advertisement mbaka Kwa settings.Aaih abaana!
nikiingia 1st yr nakumbuka nilijipata using Redmi.Hiyo simu ilinitesa akiamungu,yaani ni simu imetengenezwa uteseke,unaeza kuwa uko katikati ya deal unashtukia simu imezima yenyewe.Ukiwasha dakika mbili imehang,ukipigiwa inahang,lakini wa deni akikupigia inaingia vizuri,...
Juzi tu sufuria iliamua kutoboka,leo imebidi nipitie ya 2nd hand haapo kamukunji na mia 400 pesaa tasilimu.
Leo nikupika kama nimeset camera kama ombachi kumamaye...
Yaani ugly niggas from the trenches shetani baana nikaa anakuanga ametuekea multibet.on a random satoo yaani unaamua kuingia mjengoo mapema kufurahisha foreman,saa sita inafika anakulist Kwa watu hawataingia Monday,mukienda kutoka lorry ya mawe karibu inataka kukunyaga.....
Juzi wamama wa ploti waliona sinanga job ikabidi waniongeze Kwa list ya kuosha stairs,nikawashow kuosha stairs siwezi me si mwanamke,jamaa zilinipea onyo nisipitie stairs,Jana usiku ilibidi nifunge kamba from 10thfloor mbaka Kwa gate nikateremka ka swat,sema wamama kupiga kelele
Jana after mjengo nimejiekelea on my 4by6 bed,naingia TikTok napata there was a dem i was eyeing, baana picha anapost then music on the background nashangaa baana with my Motorola hapa ingekuwa imeenda ,kidogokidogo naingia page yake napata videos ni za dinner dates hapa na pale
Ugly broke ass niggas hatuponei kabisaa!,sai wameongeza adds greenapp,ukitaka kutoona the ads while viewing status lazima uingie premium greenapp,eeeiy haapa bila kujikaza hkn kuponaπ
ndio kuingia YouTube ni choose one of the baddest rnb mix nitoe majozi ju ya kuachwa mara kama mia hamsini all becoz ii sura kumbanya lakini lately nasikia mambas wanaangukia baddies acha niendelee kujitia roho naeza angukiwa courtesy of HEHA MOVERS
signs zinaonyesha mambas we are winning ,sai si ka kitamboo this light skins dudes ndio wanafanya advertisement look like now kama akina HEHA MOVERS wamepata jackpot wanasumbua huku online,anyway good luck for them acha sisi wengine tuone nyasaye atatutegea wapi na lini..
nimepost status photo frame ya kasongo so as I can attract clients lakini waapi imekataa kunasa kila mtu anaingia diyem with delete it,mwingine baana amenitusi ikabidi nidelete,..enyewe kasongo is going home apende asipende..
umati ikitulizwa na wengine kuwa wasirushe mawe,..as I was going back Kwa nyumba what run in my mind is that always pray and for my jiranis the weekend had started bad na mambo na kuota nipunguzee,...
Nimekuwa nikilala nasikia watu wanapigana wakipiga nduru na wengine wanalia mara uuuui fungua mlango uuui ni kubaya, nagutuka kutoka Kwa usingizi naenda kufungua mlango in mind nikidhani Niko Kwa ndoto,ghafla mlango inafunguka kuangalia ni bro ananiambia ni moto kunachomeka,..
me naye na suruali nakimbia asteaste mbaka kwenye moto na makelele inatokea finding all that it was not dreaming it is real,majirani walisaidia kupunguza moto isiendelee kusambaa nao wazima moto wanakuja kaazi ikishaisha lkn kasongo must! but all in all walisaidia kumalizia huku