Official X account of Tulia Trust Non-Governmental Development Organization Devote to positive changesπ Join us on our journey to make a difference!πͺπ½
JEANS PARTY IMEPOKEA NENO LA BETIKA MBEYA TULIA MARATHON
Popote upitapo habari ni moja tu inayohusu Betika Mbeya Tulia Marathon
Usajili unaendelea,Tukutane tarehe 15-16/05/2026 kwa msimu wa 10 ndani ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya.
MAKONGORO AMEPOKEA UJUMBE WA BETIKA MBEYA TULIA MARATHON
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh Charlz Makongoro Nyerere @makongoro_nyerere amepokea ujumbe wa Betika Mbeya Tulia Marathon na kukaribishwa kushiriki mbio hizi zenye lengo la kuboresha miundombinu ya elimu ma afya.
BETIKA HANA JAMBO DOGO | JAMBO KUBWA NDANI YA BETIKA MBEYA TULIA MARATHON 2026 | ASANTE KWA KUJA.
Ni msimu wa kusisimua kwa wanariadha wa Tanzania njoo utengeneze rekodi yako ya kipekee katika mchezo wa riadha kwenye Betika Mbeya Tulia Marathon msimu huu.
π 15-16/05/2026
PRE-BETIKA MBEYA TULIA MARATHON | JAMBO NI MOJA | TUKUTANE TAREHE 25.04.2026 JIJINI MBEYA.
Watu wote mnakaribishwa kushiriki.
Au tembelea ofisi za Tulia Trust zilizopo Mbeya-Uyole , Rungwe -Tukuyu Mjini Pamoja na kyela.
Simu 0767860515 na 0763828271.
πMbeya Tulia Marathon
TUNAANZA UPYAAAA/ TAYARI KUMECHANGAMKA
Undungu wetu unaendelea kushikamana kwa upendo wa kipekee na kasi kubwa, karibu kwa mara nyingine Betika @betika.co.tz kuendeleza na kuboresha miundombinu ya elimu na afya.
Tukutane tarehe 15-16/05/2026
TUNAMALIZA.
Tuliona zinaweza kuwa siku nyingi sana kuifikia Tarehe 24.05.2025 Jambo linarudi Siku moja nyuma, yaani Tarehe 23.05.2025 ndipo kila kitu kitawekwa sawa
Tukutane Uwanja wa Shule ya Msingi Hasanga-Uyole kuanzia Saa 04:00 Asubuhi tarehe 23/05/2025
Wote Mnakaribishwa
JOTO LA USAJILI KUSHIRIKI BETIKA MBEYA TULIA MARATHON 2025 LINAZIDI KUPANDA JIJINI MBEYA.
Jisajili uweze kushiriki kwa ukamilifu mbio hizi zitakazofanyika tarehe 9-10 mwezi wa 5, 2025 kwenye uwanja wa Sokoine Mbeya Mjini.
#BetikaMbeyaTuliaMarathon2025#BMTM2025
VIJANA WA NYUMBANI WALIOPEWA MAMLAKA YA KUSIMAMIA BURUDANI KWENYE BETIKA MBEYA TULIA MARATHON 2025
Jisajili uweze kushiriki kwa ukamilifu mbio hizi zitakazofanyika tarehe 9-10 mwezi wa 5, 2025 kwenye uwanja wa Sokoine Mbeya Mjini.
#BetikaMbeyaTuliaMarathon2025#BMTM2025
MAZOEZI YANAYOFANYIKA NI YA KUCHUKUA USHINDI
BETIKA MBEYA TULIA MARATHON 2025
Jisajili uweze kushiriki kwa ukamilifu mbio hizi zitakazofanyika tarehe 9-10 mwezi wa 5, 2025 kwenye uwanja wa Sokoine Mbeya Mjini.
#tunaboreshamiundombinuyaelimunaafya#BetikaMbeyaTuliaMarathon2025
VIJANA WA NYUMBANI WALIOPEWA MAMLAKA YA KUSIMAMIA BURUDANI KWENYE BETIKA MBEYA TULIA MARATHON 2025
Jisajili uweze kushiriki kwa ukamilifu mbio hizi zitakazofanyika tarehe 9-10 mwezi wa 5, 2025 kwenye uwanja wa Sokoine Mbeya Mjini.
#BetikaMbeyaTuliaMarathon2025#BMTM2025
VIJANA IGAWILO WAUNGA MKONO JITIHADA ZA DKT.TULIA.
UVCCM Kata ya Igawilo waunga mkono kazi ya Mh Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dr Tulia kwa kushiriki kazi za mikono kwenye ujenzi wa Nyumba ya Bibi Chungu Mkazi wa mtaa wa Mwanyanje. @tulia.ackson
#TuliaTrustNaJamii
Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini Ambaye ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais Wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson kuongoza zoezi la Upimaji na Matibabu ya Macho yatakayofanyika Siku Tatu Kuanzia leo Tarehe 18.04.2025 Shule ya Msingi Kagera