@Tanfootball@NBCTanzania Nyie hamjitambui, mlisema mtakuja kuleta ripoti ya kilichosababisha kughairisha DERBY alafu Ndio mpange tarehe ya derby. sasa mbona hamjaleta iyo ripoti na mmepanga tarehe.? Uongozi wote wa TFF na TPLB mjiuzuru. Wapuuzi wakubwa, nyie ndio mnaotuharibia mpira wetu kenge nyie ๐
@mj0058 Ramires na Torres, siku ambayo Barcelona hawatoisahau wakienda nje kwenye nusu fainal champion league 2012 , Chelsea tukichomoa bao 2 tena tukiwa pungufu ๐๐๐๐
@shaffihdauda1 Wewe akili huna, ivi iyo kauli ya matusi refa amewezaje kusikia wakati alikua mbali vile? Na mpira ulikua unaendelea yeye kapiga firimbi kaja moja kwa moja na kutoa kadi nyekundu. Acha ufala wewe kwa heshima ambayo ulikua nayo haukupaswa kutumika kisenge kiasi iko ๐๐๐
@shaffihdauda1@amrikiembatzz Sasa mbona haujapost kile kipande kinachosema kua KOLO nae anasehemu zake kupatia point, lkn pia mbona mbona haujapost kile kipande alichosema kuhusu Azam inavojiandaa kucheza na Yanga na jinsi Azam inavojiandaa kucheza na KOLO
@MahamudMohamedi@singidabssc Kama Tabora tu kila inapokutana na MAKOLO wachezaji hawana vibali au majeruhi ila ikishapita mechi inayofuata wote wana vibali na majeruhi wote wamepona ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
@JrKalemera @singidabssc Kama Tabora tu kila inapokutana na MAKOLO wachezaji hawana vibali au majeruhi, ila ikishapita mechi inayofuata wote wana vibali na majeruhi wote wamepona ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ