The sky's been quit for too long, no answer comes but I keep strong, I light my sins like cigarette smoke, and breath them in until I choke,I've walked through fire I'have slept on rain called my name on walls of pain, if mercy is out there I've lost my way, GOD I am not okay.
Ukisoma Historia vema utagundua Mwingeleza hakuwa na malengo na hii nchi kama aliyokuwanayo KENYA huku ni kama alipokea mtoto wa kambo amlee, ila kicheko zaidi ni plan ya Mjerumani kuwa bora kuliko tulizonazo leo kwenye miji yetu baada ya uhuru hata mipango miji tu imetushinda🤔
Unaona hiyo sambusa ya Kilosa - Dodoma - Iringa - Kilosa?
Halafu unaona hiyo Kilwa - Songea? Halafu Songea kurudi Moro - Dar?
Vita vya Kwanza vya Dunia visingepigwa ungeitwa Jurgen Schroeder Ntile! WANGEONDOKA 1990s hawa. Uwekezaji wao wa miaka michache haulingani kabisa na Mwingreza miaka 40
Na unakuta wengine wanauliza kwanini Korea kaskazini ajiulizi nchi iliyowekewa vikwazo lukuki na bado wanamudu sayansi ya kumiliki Nuke😂 ni mara 1000 kwa ubora kuliko enyi wenye uhuru miaka ya 60+ hata stiki ni made in china🤔 na hatuna vikwazo kama wao.
Wanaouliza why watu wanaenda kusoma Iran?
Rais wa Iran ni Cardiothoracic Surgeon, Waziri mambo ya nje ana PhD ya Political thought. 60% ya wanasayansi wanaotengeneza drones na mabomu ni KE toka vyuo vikuu, zaidi ya wanawake 130 wa Iran wamo kwenye top 1% ya wanasayansi duniani.
Kulingana na matumizi yako utaona hamna haja, ila kama ni mchoraji, mbunifu wa majengo n.k utaona kuna umuhimu, maana kuna watu hawataki kuwa na vifaa 2 kwa kazi moja, anataka kimoja kimalize kila kitu so opt itakuwa hii aina ya laptop, kuliko kuwa na iPad + Laptop.
Kuna jamaa anaitwa Togolani Mavura alipata teuzi bila kupiga hizi mbishe za uchawa alafu kuna malegend aliwakuta wanasifia akawaacha hadi leo bado ngoma ngumu.💔😂
Sema msimu uishe tuu wapewe kombe lao—tumeshuhudia BINGWA MBOVU tangu EPL ianzishwe huo ndio ukweli.
Na baada ya hili kombe mtasubiri tena miaka 20 ijayo.
TAKATAKA ASSno
Kwamba Mwalimu wa Phy ama Hesabu awe apeche alolo, Heshimu fani, tofauti na hapo ni ukanjanja kila mahari panahitaji watu vichwa hasa sehemu inayohusu AFYA na ELIMU, huku ukikosea umekosea hakuna spea.
Kama hiki ndio kipenyo cha maji ktk hilo daraja unategemea miujiza gani👎 since day 1 nilipoona hivi nikasema majibu watayapata soon🤔 njia ya maji ya miaka yote unaifunga mwaka arafu unajenga kalavati unalipa jina daraja TANROAD ilipaswa kuwa kampuni ila mpaka leo ni wasimamizi.
Hiyo mbona std ya kawaida kabisa kwa Faculty za Humanities mtiti kwa sayansi, na huwa wanafanya hivyo kupunguza idadi ya waombaji, ukiwa na 3.5 uwe na skills nyingine bina hivyo utaumia.
Si tu mziki, hata soka la bongo fanya uchungunguzi vizuri watu hawana vibe kama mwanzo kabla ya MO29, Sikuhizi ni rahisi kisikia Simba ama Yanga kashacheza ila sio tena wanacheza lini, "kwani wameshacheza"🤣
💨 Baada ya October 29 Mziki wa bongo uko kwenye mteremko mkali sana alafu Content Creators wanapokea kijiti kirahisi sana.
Mpaka wimbo mmoja ukamilike unatakiwa umlipe Producer, Director, DJ, Presenter, influencer n.k
Content Creator anahitaji Simu na bando tu.
Low labour and Forced one per situation, hawataki kuajiri ndio maana hata Gavoo haitaki kuupgrade toka daraja frani kwa kuogopa gharama za kulipa watu kwa elimu, Mf waalimu bado inaajili Cerf.
Mwenyezi Mungu naomba baraka zako zitajirishe riziki zangu bila huzuni wala majuto.
Nipe amani katika kazi yangu na katika jitihada zangu.
Nipe hekima,bidii na uaminifu.
Fungua milango ya fursa,leta watu sahihi katika safari yangu, na uniongoze katika maamuzi yangu.
Ameen 🙏🏼
SIKUBAHATIKA TU KUPATA HII CODE HUWA SIACHI🤑 ILA WANANGU HONGERENI KWA KULISHA MTAA🤝✊️👉💰🥸🚀🤑📝MADOGO NA WAWEKEZAJI WAMEGEUKA MILIONEA IN FEW DAYS✊️🫡
WENGINE TUMEMKOSA KANJI ODDS 600 kwa 1cut single day bet. JUZI😭
Nb; 👉SPORTY BET🥸 wamebutuliwa si chini ya 500m✅️
Kwa utamaduni wetu wa uchumi na utafutaju, kutoka home ni njia moja kuelekea Uhuru kiuchumi maana ukibaki nani anakusaidia kupambana na uchumi wako zaidi ya salamu, kutumwa hovyo na kuwa tegemezi, tuishi kama/sawa na wahindi uone nani atatoka kwao👉💰
@IamGabby_01 Vijana wengi wanaondoka majumbani kwao kwa kigezo cha kupambana na maisha kumbe wanakuwa wanataka uhuru wa kufanya mambo yao kama Starehe na anasa
Kama Kijana Usitoke nyumbani kama bado hujajipanga vizuri
@FMtuwa83@SwahiliBible Watu hawaelewi hili wanataka awe sawa na USA pole kwao toka awali mchina kapigana na nani zaidi ya vita enzi za majambia na silaha za mbao🤣