Mlipuko mkubwa uliotokea Mji mkuu wa Lebanon, Beirut, na kusababisha uharibifu mkubwa na kujeruhi watu wengi, maafisa wanasema. Bado haijajulikana ni nini kilisababisha mlipuko katika… https://t.co/kQiuAFPRlQ
Hili ni eneo la bandari ya Beirut nchini Lebanon. Umetokea Mlipuko MKUBWA Uliosababisha majeruhi na vifo ambavyo mpaka sasa Idadi yake haijaulikana....
#prayforlebanon#lebanon… https://t.co/bbLUox8OcP
Club ya Yanga SC imemfuta kazi kocha wake mkuu raia wa Ubelgiji Luc Eymael kwa madai ya kutoa kauli za kibaguzi na zisizofaa, Yanga imeomba radhi wananchi wote na viongozi wa kitaifa https://t.co/HCKzEDN8kw
Muimbaji Wa Muziki Wa Injili Tanzania @joellwaga_ Siku Ya Jana Amemvisha Pete Ya Uchumba Mchumba Wake Anaye Fahamika Kwa Jina La Peace https://t.co/f2prrG32nv
Historia fupi ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa
Benjamin William Mkapa alikuwa mwanasiasa wa Tanzania ambaye alikuwa Rais wa Awamu ya Tatu kuanzia mwaka 1995 ulipofanyika uchaguzi… https://t.co/4WPIdDWmsu
"Nakulilia Mzee wangu, mwalimu wangu, mlezi wangu wa Kiongozi, Baba na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Nilikutembelea nyumbani kwako mwezi uliopita, tukala chakula na familia tukicheka na… https://t.co/JP2rg9vLOV
"Nimepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyekuwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa. Hakika kifo hiki ni pigo kubwa kwa taifa letu.… https://t.co/mH49yAIm9e
TANZIA: Rais John Pombe Magufuli ametangaza kufariki kwa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. https://t.co/Sgfc8hsxIn
Babu aliejipatia umaarufu katika kuomba kura kwa wajumbe wa CCM ili kupata nafasi ya kugombea ubunge jimbo la Moshi mjini ameweza kupiga story na @millardayo kuelezea kwa undani ahadi zake alizozitoa na vipi ataweza… https://t.co/xbhReHH8WN
“Niviombe vyombo vya dola tuvumilie kidogo tusitumie nguvu mahali pasipotaka kutumia nguvu, na nyie Wanasiasa msiwachokoze wale mkawalazimisha kutumia nguvu, naamini tukiwa na kampeni safi bila matusi wala vurugu… https://t.co/oF83V52jpl
Msanii Hamis Mwinjuma maarufu @MwanaFA amekuwa mshindi wa pili kwenye kura za maoni (CCM)Jimbo la Muheza Mkoani Tanga baada ya kupata kura 296, Mshindi wa kwanza ni Balozi Rajab mwenye kura 577 na mshindi wa tatu ni… https://t.co/0owb7lhlMr
#UchaguziMkuuTanzania2020
Matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Hai, Kilimanjaro kwa watia nia wa Chama cha Mapinduzi (CCM):
Sasisha Mafue: 124
Fuya Kimbita: 85
Aboubakari Ndosa: 48 https://t.co/1OMQm4M8Ym
#UchaguziMkuuTanzania2020
Matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Msalala, Shinyanga kwa watia nia wa Chama cha Mapinduzi (CCM):
Idd Kassim: 327
Ezekiel Maige: 118
Khatib Mgeja: 75 https://t.co/35OYQ784KD
MICHEZO: OFISA Mtendaji mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa amethibitisha kwamba kuna uwezekano wa kuachana na mastaa wasiozidi watano hivi karibuni, na kuongeza kuwa hawataki kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi… https://t.co/m6RtB8zyId
"Ninarudi nikiwa mmojawapo wa wanaoomba kuteuliwa na chama changu kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninarudi nyumbani na ninatarajia mara hii Jeshi la Polisi litanilinda na kulinda maisha yangu dhidi… https://t.co/sW5FzW9HtX
Fredric Lowassa ambae ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa edwardlowassa ameongoza kura za maoni katika jimbo la Monduli mkoani Arusha kwa kupata kura 244 ,Julius Karanga aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo… https://t.co/F6l003ihZh
Mke wa Raisi Mstaafu Awamu ya nne,Jakaya Mrisho Kilwete,Mama Salma Kikwete ameibuka mshindi kwenye kura za maoni za Ubunge katika jimbo la Mchinga(Lindi)
1:Salma Kikwete-92
2:Ahmad Said Mderu -68
3:Riziki Lulida… https://t.co/eTmYUwAZPu
Kwa mara ya kwanza katika historia tuzo ya Ballon d'Or mwaka huu haitotolewa kwa sababu hakutokuwa na usawa kutokana na namna janga la virusi vya corona lilivyoathiri taratibu za uchezaji soka. Tuzo hiyo imekuwa… https://t.co/PF1sdHf8e0