Serikali ya Kijeshi ya Burkina Faso inayoongozwa na Captain Ibrahim Traoré imevifuta vyama vyote vya siasa nchini humo na mali zote za vyama hivyo zimechukuliwa na Serikali. Waziri wa mambo ya ndani amesema uamuzi huo umechukuliwa kama sehemu ya kujenga upya taifa lao.