Ng’ombe za MVUMI KILOSA zikiwa zimepata AJALI.
Tulisema jeshi la polisi kupitia usalama wa barabarani walishakataza matumizi ya MAROLI kusombelea watu, yatumike kubeba ng’OMBE.
Ila kwasababu wanaosombelea watu kwenye MAROLI ili waonekane wanajaza kwenye mikutano ni MASISIEMU basi jeshi lipo kimya. Sasa na sisi tunatakiwa KUFURAHIA hizi ajali maana wanajitakia.
Cheki zikiwa zinauguzana hapo NG’OMBE🫵🏾😂
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Na niwaambie serikali ya TANZANIA, huu ndio mwanzo wa kwenda GLOBAL.
Sijamaliza media TOUR ndio naanza.
Nilitoa muda wa kupata HAKI ZANGU mkapuuzia. Sasa sitaki kelele za “TUWE WAZALENDO kwa nchi yetu”
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Amehusika kwenye magoli 20 ya NBC PL msimu huu, mechi 10 za mwanzo hakufanikiwa kabisa kupata hata goli la offside. Tukaambiwa ndio mshambuliaji mwenye kiwango kibovu kuliko wote hastahili kuwa Yanga. Magoli 12 bila ya penati, asisti 8. Prince Van Mpumelelo Nistelrooy Dube.
🐐
Trust me broo kama sio uchawi au uzoefu basi kwenye timu zote 8 zilizobaki quarter final ya CL hakuna timu inaweza kushinda mechi mbele ya PSG, hawa jamaa nitakua nao mpaka mwisho wa mashindano.... Timu bora sana so far.
Bookmark hii tweet, PSG ANAENDA FINAL MWAKA HUU.🤝