@mangekimambi Eti unasema kesi ya Connection una ushahidi wa malipo kwa Wahusika kuma wewe? : Ulimlipa Aslay? Ulimlipa Nyalandu? Ulimlipa Gigi Money?
Una ushahidi juu ya madai yako dhidi ya Mama? Lawyer wako na wewe MMEKIRi kuwa WEWE NI MUONGo. Tangu ubakwe na Babaako hujawahi sema ukweli
@mangekimambi Mange umezushia watu wengi uwongo, umeharibu majina ya watu wengi na kuwasababishia Depressions. Kuna dogo ulimsingizia ushoga akataka kujiua, umetuma watu kuingilia faragha za watu. NI MUDA WAKO KULIPA. This time umepatikana Mbwa Wewe
Hii ni sehemu ya safari yangu kuelekea kituo changu cha kazi.
Maswali: Itakuwaje kwenda kufanya kazi kijijini? Nitaweza kubadili mfumo wa maisha? n.k
MAJIBU: Ninaianza safari ya utumishi wa umma kwa moyo wa uzalendo, shukrani, na tumaini kwa Mungu.
NIKO TAYARI #KuanzaUtumishi
(Nimemuona Rais)...Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Somanga akiwa amebebwa juu ili kumuona Rais Samia Suluhu Hassan aliposimama enco hilo kuwasalimia Wananchi wakati akihitimisha Zara yake katika Mikoa ya Kusini. #PichaZaTanzania#MamaAnafanikisha
Rais Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini Suleiman Said Bungara Maarufu (Bwege) mara baada ya kuwahutubia Wananchi wa Kilwa Masoko Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023. #MamaAnafanikisha#ZiaraYaMamaLindi
Wananchi wa mji mdogo wa Nanyamba wakifurahia kufikiwa na huduma ya umeme kupitia Miradi mbalimbali ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
#MamaAnafanikisha
Januari hadi Machi 2023 Tanzania imeshika nafasi ya pili Afrika kwa kupokea idadi kubwa ya watalii kutoka nje ya nchi. Kazi ya Rais Samia Suluhu kupitia Royal Tour inazidi kuzaa matunda. #MamaAnafanikisha#MamaYukoKazini
The wildebeest migration is one of the most awe-inspiring natural events on the planet. Watch as millions of animals make their way across the Serengeti in search of food and water. It's a truly unforgettable experience. #wildebeestmigration#serengeti#masaimara
Tuna kila sababu ya kumpongeza Rais Samia Suluhu kwa kuendelea kuwaenzi mashujaa wetu kwa kufanya maamuzi ya kujenga mnara mpya na Uwanja wa Mashujaa wenye hadhi ya Mji Mkuu wa nchi. Hii inaonesha;
✅Anajali na kuthamini historia na urithi wa Taifa letu
✅Dhamira yake ya kuendelea kulinda tunu za mshikamano, upendo, amani na utulivu
#MamaAnafanikisha
Official attempt for the @GWRMuseum on performing on the highest peak in Africa, Mount Kilimanjaro, and the free-standing Mountain in the World. The goal was to break the previous world record by holding a new Highest Harp Concert on Mt.Kilimanjaro Tanzania,altitude of 5,895 m.
Miradi ya kigeni iliyosajiliwa kwa mwezi Aprili hadi Juni mwaka 2023 imeongezeka na kufukia 55 ilikilinganishwa na miradi 28 iliyosajiliwa katika kipindi kama hicho mwaka 2022.
Mazingira bora na sera rafiki kwa uwekezaji zimechangia ongezeko hilo.
#MamaAnafanikisha
Sons and daughters of Africa,
We are here to take Africa to next level
By discussing and exchanging our experiences
Eventually to decide our way forward, By promising to invest to our people: Investment that will contribute to sustainable development Of Africa
#AfricaHumanCapital
#MamaAnafanikisha ujenzi wa mradi wa barabara ya Kidatu- Ifakara wilayani Kilombero Kilometa 66.9 na ujenzi wa daraja kubwa la mto Ruaha Mkuu uliofikia 87%.
"Rais Samia Suluhu Hassan ametoa sh. bilioni 134 kukamilisha mradi huu mkubwa wa maji wa Tarime-Rolya. Kwa hili Mhe. Rais anatekeleza dhana ya kumtua mama ndoo ya maji kichwani kwa vitendo" *Mhandisi Cyprian Luhemeja, Naibu Katibu Mkuu
#mamaanafanikisha
𝐀𝐋𝐈𝐀𝐍𝐙𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐁𝐀𝐁𝐀 𝐖𝐀 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀, 𝐌𝐀𝐌𝐀 𝐀𝐍𝐀𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐙𝐀
Alianzisha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na sasa Rais Samia Suluhu anaendeleza azma ya kuhakikisha kwamba vijana wanapitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
#MamaAnafanikisha