Katika Kipindi cha 12 msimu wa 4 wa UTT Live Series, tumejadili kwa kina masuala yafuatayo:
-Ni mtu wa aina gani anaweza kuwekeza kwenye mifuko ya UTT AMIS?
-Faida zipi mtu anazipata anapowekeza?
-Hatua zipi mtu anapaswa kuchukua ili kuanza uwekezaji?
Katika Kipindi cha 12 msimu wa 4 wa UTT Live Series, tutajadili kwa kina masuala yafuatayo:

UTT AMIS ina mifuko 6 ya uwekezaji.
Kila mfuko una malengo yake, vigezo vyake na faida yake kulingana na uendeshaji wa mfuko huo.
Wasiliana nasi au tembelea ofisi zetu kupata elimu na ushauri juu ya mifuko hii ya uwekezaji.
#UTTAMIS#investing#uwekezaji#akiba
Kipindi cha 9 msimu wa 4
Tunaenda kuzungumza jinsi ya kuchagua mfuko au mifuko bora ya kuwekeza kati ya mifuko yetu sita(6) ya uwekezaji wa pamoja.
Tutakuwa live kupitia instagram kuanzia saa 5 kamili
#UTTAMIS#UkuajiWaPamoja#Fedha#JifunzeUwekezaji#PersonalFinance
Katika dunia ya kisasa, mabadiliko ya soko la uchumi na mzunguko wa fedha huchochea hali ya wasiwasi kwa watu wengi, hasa linapokuja suala la uhifadhi wa thamani ya fedha.
Wasiliana nasi kupata ushauri na usaidizi zaidi wa uwekezaji kupitia mifuko ya pamoja ya UTT Amis.
#UTTAMIS
Kwa nini uwekeze na UTT AMIS ?
Kwa Mwaka wa Fedha Ulioanzia Julai 2023 na kuishia Juni 2024, Mifuko a uwekezaji wa pamoja inayosimamiwa na UTT AMIS ilitengeneza Faida ya zaidi asilimia 12%.