Tunawashukuru PATA kwa kutambua juhudi na mchango wa UWAVITA katika kuimarisha ujumuishi katika tasnia ya uandishi wa vitabu Tanzania ambapo UWAVITA ilifanikiwa kuonesha vitabu vya watoto vya nukta nundu katika Tamasha la Kimataifa la Vitabu Tanzania lililoandaliwa na PATA.
UWAVITA KIDEDEA!
Wanachama wa UWAVITA katika picha za matukio tofauti tofauti.
Tunaendelea kumpongeza Bi. Amina Mohammed, akipokea kijiti kutoka kwa mshindi wa mwaka jana Bi. Tune Salim.
@tuzonyerere@TIE_Tanzania@wizara_elimuTz
UWAVITA KIDEDEA!
Hongera Bi. Amina Mohammed, ukipokea kijiti kutoka kwa mshindi wa mwaka jana Bi. Tune Salim. Wote wakitokea UWAVITA, washindi wa kategoria ya Hadithi za Watoto!
@tuzonyerere@TIE_Tanzania @wizara_elimuTzh
Ndugu Mdau wa Kiswahili,
KAKAMA inapenda kukukumbusha kuwa zimebaki siku chache kufikia tukio hili muhimu. Tafadhali usikose kushiriki katika maadhimisho haya ya kihistoria. Tunakutarajia.
Ndugu wanachama wa UWAVITA,
Tunawakumbusha kuhusu Mkutano Mkuu utakaofanyika tarehe 18 Oktoba 2025 kupitia Google Meet.
Muda: Saa 11:00 Jioni
Kiungo: https://t.co/84LRG4qkrz
Imetolewa na,
Ofisi ya Katibu Mkuu,
UWAVITA.
MUHTASARI WA YALIYOJIRI KATIKA HAFLA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TET).
Ushiriki wa Umoja wa Waandishi wa Vitabu Tanzania (UWAVITA).
A/ Utangulizi
Leo tarehe 17 Juni 2025, Umoja wa Waandishi wa Vitabu Tanzania (UWAVITA) umeshiriki katika...
C/ Hitimisho
Ushiriki wa UWAVITA katika hafla hii ni hatua muhimu katika kujitanua kimtandao, kuongeza ushawishi katika sekta ya elimu, na kuendeleza maslahi ya waandishi wa vitabu nchini. Umoja umejidhihirisha kama mdau wa kweli katika maendeleo ya elimu Tanzania.