Fukwe safi na mazingira bora. Karibuni wote siku ya Jumamosi 4/6/2022 kuadhimisha siku ya mazingira duniani ambapo ni mwendelezo wa kampeni ya siku 30 kunusuru na kurejesha hali ya ufukwe wa Rainbow*
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Fred 0764447199 OR
Sarah 0786625969