Universal Communications Service Access Fund ( UCSAF)was established to facilitate access to communication services.
For more information call 0800110700
BADO SIKU 18!
Jiandae kwa Mkutano Mkuu wa 14 wa Afrika wa Jukwaa la Utawala wa Mtandao (AfIGF)
Tarehe: Mei 29 - 31, 2025
Mahali: JNICC, Dar es Salaam, Tanzania
Kaulimbiu: Kuwezesha Mustakabali wa Kidijitali wa Afrika.📍
#AfIGF2025#MtandaoAfrika#Kidijitali#TanzaniaYaKidijitali
Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), inatekeleza mradi huu mkubwa unaolenga kuwafikia wananchi milioni 8.5 wa maeneo ya vijijini ambao watafaidika na huduma za mawasiliano mara mradi utakapokamilika.
JINSI YA KUPIGA KURA Skani ama tumia link hii👇kujisajili na kupiga kura.
https://t.co/Ce60nGf0V4
KIPENGELE CHA MRADI: AL C2. INFORMATION INFRASTRUCTURE
JINA LA MRADI: RURAL TELECOMMUNICATION IN ZANZIBAR- ▶️Kisha VOTE FOR THIS PROJECT.
Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), inatekeleza mradi huu mkubwa unaolenga kuwafikia wananchi milioni 8.5 wa maeneo ya vijijini ambao watafaidika na huduma za mawasiliano mara mradi utakapokamilika.
#MawasilianoKwaWote#Commucation4All
Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Mwanza. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa huo, minara iliyokamilika na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi pamoja na ile ambayo utekekezaji wake unaendelea.
#Minara758NchiNzima.
Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Kagera. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa huo, minara iliyokamilika na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi pamoja na ile ambayo utekekezaji wake unaendelea.
#Minara758NchiNzima.
Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Mara. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa huo, minara iliyokamilika na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi pamoja na ile ambayo utekekezaji wake unaendelea.
#Minara758NchiNzima.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) akitoa zawadi ya kompyuta mpakato (laptops) kwa wanafunzi 31 walioshiriki katika mafunzo ya Wasichana katika TEHAMA, 2025 kitaifa katika hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo Aprili 16, 2025.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), akifanya ukaguzi wa ubunifu wa kiteknolojia uliofanywa na wanafunzi walioshiriki mafunzo ya TEHAMA kwa wasichana 2025, yaliyofanyika katika ukumbi wa AICC, Jijini Arusha.

2. Mhe. Silaa ameyasema hayo wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya Wasichana katika TEHAMA 2025, yanayoratibiwa UCSAF kwa lengo la kuhamasisha wasichana kuchagua masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM).