Siku NILIPOACHA kufatilia
1. Mambo ya Simba na Yanga
2. Mambo ya celebrity na udaku
3. Game za UEFA za usiku sana
ndipo nilipoanza kuona tofauti.
-Focus yangu iliongezeka.
-Nikawa makini na vipaumbele vyangu.
Vitu vingine si vibaya…Lakini havina umuhimu.
Kama haviongezi thamani kwenye maisha yako basi vinaondoa mwelekeo wako.
#ElimuBure