Tusaidie kujibu swali hili. Katika kuanza au kutekeleza mradi wa kisasa wa ufugaji nguruwe unafikiri ni eneo gani unafikiri lipewe kipaumbele katika kutoa Elimu?
Namba za familia kwa ajili ya mchango wa MATIBABU YA SATIVA
VODACOM
0769916759
Israel Patrick
AIRTEL
0699742232
James Nelson
Asante kwa kujitoa na Mungu akubariki ๐
*Offer Offer* Kwa vitoto vya Nguruwe .
Kuanzia Feb 21,2024 tutauza vitoto vya Nguruwe zaidi ya 50.
Aina ni cross za Duroc,Pietrain na lagerwhite. Hatuuzi pure line.
Bei ni sh elfu 8 tu Kwa kilo akipimwa uzito wake(live weight).
Vitoto vinaanzia kg 15 mpaka 60
....
Umri ni mwezi Mmoja hadi miezi 4.
Mnunuzi atafika shamba achague anayemtaka na kuchukua.
Picha na ufafanuzi zaidi utatolewa kwa inbox ya mnunuzi.
Note: Bei ni sh elfu 8 Kwa kilo.
Hivyo tazama uchumi wako na nunua Kwa bajeti Yako.
Mauzo ni hadi march 21,2024.
When we provide the fundamentals to our sow herd (the right feed, enough water, and clean air), our reward is a healthy litter of pigs ready for the next stage in their life cycle.
The PigEasy solution ยป https://t.co/b1GILmeQX4
#pigeasy#easyisbetter
Tusaidie kujibu swali hili. Katika kuanza au kutekeleza mradi wa kisasa wa ufugaji nguruwe unafikiri ni eneo gani unafikiri lipewe kipaumbele katika kutoa Elimu?