@HildaNewton21 Huyo.Daniel Maftah aliwahi kugombea ubunge jimbo la karambo / Rukwa mwaka 2015 akashinda lakini akahongwa pesa akakubali kuwa ameshindwa raia wanam'mind kinoma
@huss_john98825@lifeofmshaba Kulipa kodi hakukwepeki; kwanza uliponunua bando tayari umeshailipa kodi halafu kama unafanya biashara ndiyo kabisa kodi inakatwa indirect huwezi kuikwepa.
@Lizzie36021 Juzi nilikuwa nasuruhisha hii issue jamaa alitualika kama jamaa zake wa karibu twende kwake hajapewa unyumba inapata wiki 3 kila akiomba anapewa visababu ambavyo havina maana .
@HildaNewton21 Lakini mbona TV na Redio zinaripoti mambo wayatakayo wao tu, sasa kwanini na huku kwenye mitandao wanataka waongelewe wao vile wanataka?