Wanachukulia poa sana kwa kuwa tunaoumizwa kila siku ni sisi tu. Tumeiomba serikali maridhiano ili tujadili namna ya kurejesha amani yetu nayo imeamua kukaa kimya tu. Kwenye mitandao wafuasi wao wanatudhihaki na kututabiria mateso na vipigo @tanpol nao wamenyamaza kimya.
Akiwa kijana wa miaka 35 tu aliteuliwa na Mwalimu kuiongoza Idara ya Usalama wa Taifa.Baadaye akatumia miaka mingi ya maisha yake kuiwakilisha Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa.Daktari,Balozi na Waziri Augustine Mahiga ameimaliza kazi leo,siku ya wafanyakazi.Taifa litamkumbuka.
Pres. Trump touts chloroquine, an old malaria drug, that doctors say may help treat novel coronavirus, claims it will be available "almost immediately."
Read more about chloroquine: https://t.co/cYt0fxdlfB
Leo nikiwa nimeambatana na wanachama na viongozi mbalimbali wa Bavicha, tumepita mitaa ya Kariakoo, kuhamasisha wananchi kuchangia FAINI ya viongozi wa @ChademaTz Sh.Milioni 350.
Changia kwenda akaunti 0111080100600. #NoHateNoFear
NEWS Alert:
If you are a true believer of Rule of Law and real Democracy follow news from #Tanzania where almost the entire top leadership of the largest opposition party has been sentenced and fined. We the citizens (not only supporters) are raising funds! We are making history!
Raia wa Uingereza, Nick Reynolds maarufu Bongo Zozo ambaye ni shabiki wa timu ya Taifa Stars akiwa ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati kikao cha tano cha mkutano wa 18 wa Bunge kikiendelea, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi #MwananchiUpdates
Rwanda imekataa wachunguzi kutoka nje waliotaka kufanya uchunguzi kuhusu kifo cha mwimbaji wa nyimbo za injili, Kizito Mihigo na kusema nchi hiyo ina taasisi imara za kufanya kazi hiyo #MwananchiUpdates