@MariaSTsehai Kwa hali ilivyo hawa hawaondoki leo wala kesho, bongo hii hakuna Gen-Z, kuna Gen-Zzzzzz ya usingizi !! Wafu wana enjoy kukaa kwenye makaburi yao !!
@Sativa255 Ni hasara kubwa kuuchochea moto ambao wewe mwenyewe huna mpango wa kuuota na kulihisi joto lake !! The issue is nani atamfunga paka kengele? Mpaka sasa kupo π΄π΄π΄ Huo ndio ukweli
@Aduiwayanga@SuluhuSamia Wingi wa watu kwenye msiba wa tajiri sio majonzi yamewapeleka bali ni njaa ukizingatia wamepelekwa na wataridishwa !! Mwisho wa siku wakiondoka mnabaki wachache na msiba wenu !!
@nguchiro47 Mchawi akishindwa kukushambulia kiroho ataanza kukushambulia kimwili, na akishafikia hatua hiyo ujue kahaishiwa nguvu na silaha hana tena !! Muda utaongea
@PapiChulo_Chuly Ukiona msiba wa tajiri una watu wengu usidhani ni kilio kimewapeleka, kilichowapeleka ni chakula wakila wakishiba wanakuachia majonzi yako mwenyewe !!
@jaliluzaid Kuua na kudharau watu kunaweza kukupa laana na kufuta mema yote uliyoyafanya haijalishi ni kiasi gani cha wema ulichofanya, laana inafuta wote.