@Baradhuli2 Mmeshanunuliwa simu na kuwekewa mabando mje muweke solidarity humu maan naona mko wengi alafu hoja yenu ni moja jaman hii nch saiz wasomi ni wengi na tunajua kama mnavyojua nyie tumeendeshwa kwa ujinga muda mrefu sana sasa mkija na hoja zenu njooni pole pole
@MankindUwezo Shida ni mifumo mibovu ya nchi yenu kumfanya raisi kama mungu mtu hao majaji wote amewateuwa yy kubishana na watu ambao akili ziko tumboni ni ngumu lakin hata farao alikuwa na shingo ngumu lakin mungu alimuangusha ipo siku mtabaki midomo wazi nyie mnaefikir hii dunia ni yenu
@tonymaster01 Sasa hawa wanatofauti gani na walimu siku hizi wapo kwa ajili ya mishahara tu ila ule uzalendo na taifa hawana na hii imetokana na ujanja mwingi sana
@Sativa255 Serikali imeshatengeneza jeshi lingine bila kujua ambao n gen z sasa kama watu wanatoa kauli na nchi inasimama kwa kila kitu na watu wanaona kawaida tu yan serikal isipojotafakar haya ndo yatakuwa maisha bongo tunavyosema hakuna aliyesalama maan yake ndo hii