Nimekupambania sana uhai wako mke wangu,siamini leo umenitoka na umeniachia mtoto mdogo wakumlea sielewi niataishi vipi bila uwepo wako nyumbani mke wangu.Jina la bwana Mungu lihimidiwe binadamu ni mavumbi na mavumbini utarudi.Lala salama mke wangu safari umeimaliza ππ½