Afande DCI, tunashukuru kwa ushirikiano wako, lakini kuchukua maelezo ya mgonjwa wetu @Sativa255 katika mazingira ya sasa haiwezekani. Mnaweza kutumia maelezo aliyotoa mbele ya Afande RCO - Katavi. Hata maelezo ya nyongeza atayatoa (sisi) ndugu zake tukiwepo. #justiceforsativa
Nchi ya katili sana. @Eng_Matarra alihukumiwa kifungo cha miaka mitano (5) gerezani au kulipa faini ya Tsh. 7 milioni kwa kukadiria utajiri wa Marais wastaafu. Hao Marais wenyewe wamewahi kulalamika kwamba hawana utajiri huo? Hivi hakimu anajua miaka 5 gerezani? Total madness.💔
ila tuna katiba ya Hovyo sana , ndomana mchakato wa kupata katiba Mpya ni Muhimu tusje tukafika siku hatuwezi hata kuongea Jambo lolote bila ruhusa ya serikali
Mwambieni Sylvester namuuliza:
“Watu wakiKADIRI utajiri wangu kwenye mtandao atawapeleka Mahakamani?”
Kwanini?
Kila mtu yuko SAWA kwenye Katiba yetu. Marais hawapo JUU ya sheria wala hawana special treatment kwenye sheria za Jinai.
Aache kujipendekeza.