Kuna nafasi za kazi zipo Germany , kazi za kusaidia watu wenye umri mkubwa , wanalipa Euro 3000 kwa mwezi , kigezo ni utayari na kujua ki–Germany na uwe na Afya nzuri .
Ki–Germany unaweza kujifunza hata online basic tu .
Kiukweli hata sijashangaa hii scoreline . Timu zote mbili huwezi amini macho yako jinsi zilivyo open all over the pitch . Wawe high , mid au Low , hakuna presha ya kutosha dhidi ya mpira, recovering runs slow
Field day kwa Passers na runners😀
Fyodor Dostoevsky alizaliwa mwaka 1821 mjini Moscow, Urusi. Akiwa kijana alipenda sana vitabu na falsafa kabla ya kujiunga na shule ya uhandisi jijini St. Petersburg. alikuwa mwandishi mkubwa wa riwaya kutoka Urusi, mwanafalsafa, na mmoja wa waandishi wenye ushawishi mkubwa duniani katika fasihi na saikolojia ya binadamu
Maisha yake yalibadilika baada ya kukamatwa mwaka 1849 kwa tuhuma za kisiasa na kuhukumiwa kunyongwa kisha dakika za mwisho adhabu kubadilishwa kuwa kifungo Siberia. Maumivu hayo ndiyo yaliyokuja kuzaa maandishi yake makubwa kuhusu mateso, akili ya mwanadamu, imani na maisha
Baada ya kutoka gerezani aliandika vitabu vilivyotikisa dunia kama
>Maisha ya watu maskini
>Mateso ya mwanadamu
>Dini na imani
>Hatia na dhamiri
>Akili ya binadamu
>Mapambano ya ndani ya nafsi
Kazi zake nyingi zinaingia kwa undani sana kwenye saikolojia ya mtu kiasi kwamba hata wanasaikolojia na wanafalsafa wengi walikuja kuathiriwa na maandishi yake
Uaandishi wake mara nyingi huwa mzito kiakili na kihisia, yakichambua kwa kina tabia za watu, tamaa, huzuni, upweke na maana ya maisha ndiyo maana mpaka leo anaheshimiwa sana kwenye dunia ya fasihi na falsafa Mpaka leo anatajwa kama mmoja wa waandishi wakubwa zaidi kuwahi kuishi duniani
Ukiwa na M5 bank ambazo umezipata kwa kutunza Mshahara wako badala ya kuziacha ziendelee kukaa bank unaweza kuiwekeza huku wewe ukiendelea na kazi zako za ujira kama kawaida
Unaanzisha salon ya kiume (kinyozi) mahali palipochangamka kidogo kulingana na location yako unanunua viti 2-3 vya ubora, mashine za kunyoa za kisasa, vioo, sofa, bidhaa za nywele na decoration nzuri. Gharama zote za kuanzisha zinaweza kuwa chini ya milioni 4M pamoja ya Kodi ya miezi 6 ya mwanzo
Unaajiri barber mmoja mwenye ustadi mzuri pamoja na mdada mmoja wa kuosha nywele na kufanyia wateja facial usoni! Biashara inaweza kuanza kukuletea cashflow ya 100K hadi 200K+ kila wiki NB. uwekezaji ulingane na mahali ulipo Kuna mahali unaweza tumia 1M kwa kila kitu
Unakuta mtu amefanya kazi zaidi ya miaka 30, every morning alikuwa anaamka kwenda kazini faithfully…
Lakini anapostaafu, hali yake ya maisha bado ni ya kawaida sana , wengine wanaomba hadi msaada .
Hivi shida huwa ni nini ?
WEBSITES 10 ZA KUTAFUTA KAZI NJE YA NCHI — USHINDWE WEWE KWENDA NJE .
Miaka ya nyuma…
Ilikuwa lazima umpate mtu au agent ili kupata kazi nje ya nchi.
Lakini leo?
Watu wengi wanapata kazi moja kwa moja kupitia internet.
Tatizo ni moja tu:
Wengi hawajui waanzie wapi.
Hizi hapa ni websites ambazo watu wengi duniani hutumia kutafuta kazi nje ya nchi.
🧵