Najitaid kuelewa anachozungumza Mzee Halima ila mpaka sasa bado sijaelewa hata kimoja labda wenzangu kama kuna mtu anaelewa kinachozungumzwa anieleweshe na mimi.
Tarehe 14. 11.2015
Kikosi Cha ulinzi cha CCM maarufu kama Green guard walimvamia na kumuua kamanda Alphonce Mawazo kwa kumkatakata na mapanga ila cha kusitisha ni kwamba mpaka leo hakuna mtuhumiwa yoyote aliyekamatwa wakati waliomuua Mawazo wanajulikana kwa majina.